Mkuu,elewa huu mchezo vizuri,rais ameweka tuhuma katika msingi wa uongo wa tume za maprofesa Osorro na Mruma,leo hii unasema unataka uweke wataalam wapambane na hao watu ambao watasimama kwenye msingi halisi wa kile kilichopo.Kikubwa hapo mkuu wa nchi aendelee kukubaliana na Lissu kwakufuata process za kisheria ili ajiondoe kwa usalama nakufanya kile ambacho kitatufanya tusiwe kama Zimbabwe.MIGA na mikataba mingine baina ya nchi na nchi inabidi tujivue,lasivyo hata hayo makinikia ambayo yamezuiwa hapo bandarini yatatugharimu,na pesa zitakazotumika kuwalipa hao watu,ni za sisi walipa kodi,rais atabaki anawalaumu maprofesa tu kama anavyolaumu PhD 7 zilzopo BOT ambazo hazina tija jwa wananchi.Kwanza hujiulizi kwanini amekamata makinikia nakuacha madini yakisafirishwa nje ya nchi,unabidi tuwe makini na huu ushangiliaji unaofanywa na wana-CCM ambao wengi wao elimu zao ni ndogo na wenye elimu kubwa hawako kiuweledi zaidi yakumfurahisha mkuu.Ngoja tusubiri mwisho wa hili sakata.