Haya sasa hawa ndo ACACIA!

Haya sasa hawa ndo ACACIA!

Tuombe tu wale wazungu watuepeshi na kikombe hiki maana asilimia za ushinda zinazidi kushuka kadiri muda unavyosonga..

Tume zote mbili zilijaa maprofesa, wachumi, wanasheria na wafanyakazi wa TRA na zilikuwa zinafanya kazi ili mradi kumridhisha mteuzi wao.

Wajumbe wa tume zote waliweka weledi wa taaluma zao na kuendeshwa na mihemko & na hisia zaidi ya uhalisia.
 
Lete CVs zao tuwajue. Mlianza kutabiri Acacia kukimbilia mahakamani, mkashindwa. Sasa mmehamia kwenye psychological warfare, Nakuhakikishia mamluki ninyi mtashindwa pia.
Huwajui wazungu wewe.mtabaki na mahandaki na hawalipi hata mia..
 
Wanaodhani vita hivi tutashindwa! Amini nawaambia! Watashindwa wao.
 
kwanza Mimi naonawatu wakuja kupambana nahao wanyonyaaji niwalewale waliogundua huo wizi maana ndio wanatakwimu halisi
 
ACHA UOGA WW MTOTO WA KIUME

Hata sisi tunao akina Tundu Lissu, Zitto, Bashe na wengine wengi ambao ni vichwa tu
 
Wapumbavu pekee ndiyo wanaoliombea taifa hili lisifanikiwe.
Nia ya thread ni kututahadharisha si kutuombea kuanguka. Kocha wa timu ya mpira anapotafuta mkanda wa mchezo wa timu pinzani nia yake ni kujenga kikosi chake.
 
Wewe mwenyewe mpumbavu maana unashabikia mambo yasiyowezekana. Mnaambiwa mtakipwa hela mnakubali tu kama minyumbu..rais mwenyewe haekewi kiingereza anakurupuka tu eti wanalipa wakati wenyewe wanasema hawajasema wanalipa wanataka negotiations..mxxxxx
Sikutaja mtu lakini nilijua tu wapumbavu kama nyie mtanasa na kujitokeza msiolitakia mema taifa letu, kama siyo mtanzania tuache nchi yetu wenyewe wewe rudi kwenu.
 
Sikutaja mtu lakini nilijua tu wapumbavu kama nyie mtanasa na kujitokeza msiolitakia mema taifa letu, kama siyo mtanzania tuache nchi yetu wenyewe wewe rudi kwenu.


Ningekua raisi wa nchi ningeanza na hawa watu ndo niwageukie ACACIA...!! Wanaboa sana wazamiaji nchini kwetu...!!
 
Back
Top Bottom