Amanikwanzaa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2023
- 242
- 450
kwanza, roho ya kulalamika, inaonekana hata ungekuwa na phd ungelalamika, tosheka na hapo,jitie nguvu ridhika na katafute kazi, acha uvivu, acha dhambi.
Nikununulie kamba uwahi kufa? Nani kakwambia ni dhambi?Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Kwani umechelewa kuanza kulima?!Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
UNYAMA SANAAAUsikate tamaa ndugu,bado una nafasi ya kufanya mageuzi. 24 ni kijana mdogo sana,hata ungekua na miaka 60 hilo bado haliahalishi kujiua.
Usione watu wanatembea road tu,kila mtu ana matatizo yake. Nitakupa mfano mimi binafsi nimepitia magumu ambayo kwa mtu mwenye roho nyepesi angefikiri kujiua kama wewe. Ila mimi ukataji wangu wa tamaa ulikua ni kinyume na wewe,mimi nilikata UNYONGE,sikukata tamaa.
Sikukubali kukaa chini na kulia lia,nikaamua kujichanganya kila chaka kusaka noti. Hata hapa JF nimekuja mara kadhaa kuomba kazi,ila bado sikupata mwanga. SIKUKATA TAMAA,nikaamua kuzama chaka nako bado sikuambulia kitu,ila katika kujitafuta nilikutana na mwana nikawa nampa mapito yangu kwa kifupi tu. Basi akasema wacha nikuconnect na mwana ili uwe unapata hata hela ya kula,ila matokeo yake kwa sasa mimi ndie namsaidia huyo mwana aliesema nipate japo hela ya kula.
So kwa kifupi kwa sasa napata mabunda Mzee,sio kinyonge. Point yangu ni kwamba,usichoke kujitafuta,usikae chini na kulia, au kujikatia tamaa. Mwanaume anapaswa kupambana mpaka tone la mwisho la jasho na damu yake.
Kama uko home hama,nenda huko mbali,poteaaa! Hata kwa miaka kadhaa,weka nia urudi umefanikiwa au urudi mwili wako.
Hustle hard!! Maisha sio rahisi,maisha ya mpambanaji yanahitaji kujitoa haswa,hayo mawazo ya kukata tamaa ukiyahamishia katika utafutaji utapiga hela sana.[emoji109][emoji109]
Tupe experience yako juu hayo niliyoyasema kama ulikwisha wahi kutoka nje ya Tanzania?Sawa mkuu hongera kwa kuchangia mada
HakikaJipe moyo, utatoboa mkuu! pambania ndoto zako kwa juhudi na maarifa huku ukimshirikisha Mungu wako umri bado unakuruhusu !
ndio mkuu.sasa sinamtaji wala hatahizo sehemu zakwenda kulimia sizijuiKwani umechelewa kuanza kulima?!
nitatoboa kweli kwa majibu haya hautatoboa hakika!nd
ndio mkuu.sasa sinamtaji wala hatahizo sehemu zakwenda kulimia sizijui
Sina experience ya kwenda nje...Tupe experience yako juu hayo niliyoyasema kama ulikwisha wahi kutoka nje ya Tanzania?
Karibu tafadhali ili nami nijue na wewe ni motivation speaker au la?
Kwani veta sio chuo?Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Umempasha vilivyo, Kuna vijana wa ovyo, utakuta hata wenzake aliowaacha darasa la 7 tayari wameshaanza maisha na Wana familia zao, yeye Bado anategemea nduguKujiua siyo Zambi. Inaweza kuwa dhambi.
Wewe ni mpumbavu. Sioni aya kuwaeleza wapuuzi wasiojitambua kuwa ni watu wasio na akili.
Ulikuja na wenzako hapa duniani? Kwa nini ujilinganishe nao? Kwa hiyo hapo baadae mwenzako akiwa Rais, utajiua kwa sababu wewe siye?
Bwana mdogo, kila mmoja ana njia yake. Mungu ndiye anajua hatma ya maisha ya kila mmoja. Wapo waliofeli la saba, ila ni waajiri wa wenye Shahada za Uzamili.
Ujuzi ulioupata VETA una manufaa makubwa kuliko Shahada walizopata wenzako, endapo tu utajitambua.
Miaka 24 si haba, ila si ya kulakamika kwamba umechelewa. Wapo wenzako wana miaka 35 na Shahada zao na bado sabuni wanaomba kwa mama zao.
Ujuzi ulioupata uutumie katika kujiletea mafanikio. Kilichobaki ni wewe kujitambua na kuacha kujilinganisha na wenzako.
Ila kama unaona akhera kuna unafuu, kajiue. Kuna njia 1000 za kujiua. Mtu asiyejitambua hata haamini katika uwepo wa Mungu.
Enenda tu Mbwa wewe .
Ajira ni nini?Uzazi ndio unatoa Ajira ?
Then act as a mature person, stop complainingmiaka hii nimtu mzima lakini
Unaamini kuwa wazazi wote Wana uwezo huo wa kupiga simu sehemu ?Hao ni motivation speaker mkuu...
Mtaani mambo magumu sana lkin wazee wakiwa majukwaani au humu mtandaoni wanaongea as if wanatupenda sana na kututakia mema deep down hawana msaada wowote, lkn kama ni kijana wako au ndugu Yako humpi huu ushauri unapiga simu sehemu kijana ajibanze apate chochote ila wengn unawaambia mambo haya
Safi , huo ndio mtazamo chanyaUsikate tamaa ndugu hata mimi ilinitokea unayopitia mm nilipiga 3yrs umeme kurudi mtaani hapanitambui ikabidi nijichanganye sikuchagua kazi ile fani niliona ni aibu kwangu nikawa fundi ujenzi kwa maana ukitoka veta unatoka na vingi hasa kama ulisoma vizuri eng science bas vingi utakua mwepesi sana sasa ni fundi mkubwa tu maisha yanasonga pia jua kutumia simu kwa mambo mazuri yenye faida na kukujuza zaidi.
Hapo huna maisha magumu yani smat unayo na bando unaweka af unasema hali ngumu wewe umejiweka kwenye mabano mwenyewe hakuna mtu ataumiza kichwa kukutoa na ukitaka kujitoa inahitaji uwe na moyo mgumu sana
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mkuu umesoma ukaelewa lakiniUnaamini kuwa wazazi wote Wana uwezo huo wa kupiga simu sehemu ?
Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Hali inazidi kuwa mbaya, tunawadekeza watoto sana, hawafanyi chochote Cha kuwafikirisha, miaka 24 kijana amgetakiwa tayari amejitegemea at least Kwa kulaTunapoelekea sijui watoto wetu watakuaje, akili.zero na hawana uvumilivu