Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,340
- 56,052
Kujiringanisha na watu, ndipo tatizo lilipo
mkuu nilifeli kidato channe nikaenda veta nipo viziri kwenye ufundi injini na gia box shida nahaso sana kutafuta kazi sipati Hadi nakata tamaa.
Okay kwenda VETA ndio najiona huna akili, alafu bado unasema ni mzuri ktk ufundi engine na gear box, hivi tunadhani huo ufundi ulisema kutumia tumbo? We ni mtu mahiri, acha kujidharau, maana kujidharau ndio Kuna funga ufahamu usione fursa. Sana nashauri, Jitume kwa kwenda kwenye vijiwe vya garaji ukajitolee, maana watu sikuhizi Hawa amini vyeti Bali wanaamini umahiri. Tafuta kijiwe karibu na home, wambie unajitolea, ukiwa pale jenga ukaribu na wateja kwa kuonyesha nidhamu na uaminifu, chukua numba za simu unapoweza, Alafu baada ya miez 3, kama kijiwe hakilipi Anza kuomba tenda za matengenezo ya gari kama kufanya service ma nyumbani kwao, au muda wakiwa kazini , mdogo mdogo utashangaa mambo anavyopenda. Ipende kazi yako, onesha heshima na uaminifu. Siku hizi watu wanataka ma fundi waamini fu na wanaweza fanya kazi bila kusimamia, maana watu wengi wa nakuja garaji na kusimamia gari kwasababu ma fundi wengi wezi. Kila la kheri🙏mkuu nilifeli kidato channe nikaenda veta nipo viziri kwenye ufundi injini na gia box shida nahaso sana kutafuta kazi sipati Hadi nakata tamaa.
sawa broVijana badilikeni kifikra. Hamna ajira iliyo bora duniani kama kujiajiri. Umewahi kumwona tajiri aliyeajiriwa labda awe mwizi au fisadi
Usikate tamaa
sawa dadaSijui kwanini watoto wa siku hz mnakosa uvumilivu yaani pamoja na kupewa elimu ya VETA bado unalalamika huna kazi...wewe hata kama ungesoma Oxford bado ungekuwa mlalamikaji tu....Sasa wewe jiue tu kama umeona hiyo ni suluhisho la mwisho
Asante kakaOkay kwenda VETA ndio najiona huna akili, alafu bado unasema ni mzuri ktk ufundi engine na gear box, hivi tunadhani huo ufundi ulisema kutumia tumbo? We ni mtu mahiri, acha kujidharau, maana kujidharau ndio Kuna funga ufahamu usione fursa. Sana nashauri, Jitume kwa kwenda kwenye vijiwe vya garaji ukajitolee, maana watu sikuhizi Hawa amini vyeti Bali wanaamini umahiri. Tafuta kijiwe karibu na home, wambie unajitolea, ukiwa pale jenga ukaribu na wateja kwa kuonyesha nidhamu na uaminifu, chukua numba za simu unapoweza, Alafu baada ya miez 3, kama kijiwe hakilipi Anza kuomba tenda za matengenezo ya gari kama kufanya service ma nyumbani kwao, au muda wakiwa kazini , mdogo mdogo utashangaa mambo anavyopenda. Ipende kazi yako, onesha heshima na uaminifu. Siku hizi watu wanataka ma fundi waamini fu na wanaweza fanya kazi bila kusimamia, maana watu wengi wa nakuja garaji na kusimamia gari kwasababu ma fundi wengi wezi. Kila la kheri🙏
Ni kweli ilaKesho toka nyumbani km kichaa anza kutembea ofisi moja baada ya nyingine nakwambia haifiki jioni umepata kazi Kuna watu wanaohitaji watu wa kazi sema vijana mnachagua kazi weka mechanics pembeni nenda kaungane na fundi furniture msaidie kulanda mbao jioni atakupa chochote na hapo ndio unaanza kujifunza taaluma nyingine, usikae ndani km utumbo utakufa njaa toka nje
✍️
wewe labda utatoboa tu pua.Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
hainabudi kusema Asante kwakweliPole
watoto wa siku izi mnadanganywa sana na izi mamitandao.... vi short clip vya kipumbavu vinawajaza upepo na kujiona mmechelewa sana...Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Asante mkuuPole
miaka hii nimtu mzima lakiniwatoto wa siku izi mnadanganywa sana na izi mamitandao.... vi short clip vya kipumbavu vinawajaza upepo na kujiona mmechelewa sana...
Sasa miaka 24 ni ya mtu kucomplain na kutaka kujiua aisee...
Nikajua una 56.Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Ndio inabidi kujichanganya popote tu mradi upate Pesa ya sabuni, life is tough yesNi kweli ila
Hali iliyopo mtaani mkuu acha tu
Hela ya kula huenda bado ni mzozo(unategemea mzee) alafu unawaza kutoboa.ndio mkuu.naishi dar kujichanganya najichanganya sema tunafanya kazi kwa ujira mdogo sana hadi mtu unajiuliza nitatoboa kweli kahela hii?
Wewe kuna wenzako ni wakubwa kukuzidi wewe na hawajakata tamaa kirahisi jitafakari kwanza,miaka hii nimtu mzima lakini
Bado hajafikia iyo stage ya kuumia kiasi hichomiaka hii nimtu mzima lakini