Bangida
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 2,441
- 11,490
Kapicha akiwa anajiua au?Wekapo basi kapicha
Kapicha akiwa anajiua au?Wekapo basi kapicha
kanini Tena kaka?Wekapo basi kapicha
Maisha ni hatua mdogo wangu, kaza.ndio mkuu.naishi dar kujichanganya najichanganya sema tunafanya kazi kwa ujira mdogo sana hadi mtu unajiuliza nitatoboa kweli kahela hii?
wakuu ingekua kujiua sio zambi ningejiua tuu maana Sasa maisha yananinyoosha
najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wamwisho chuo Mimi sinalolote lamaana dah
najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
hatachakula sitamani kwamawazo dah
yanisielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
ngojatu niche zambi kama miaka miwili niwe mtu waibada kwasana then najigongesha rod niepukane na haya mahangaiko
haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu niaibu mtoto wakiume Ukifikia kia uamzi wa kuujiua uje ufuate zana za kukamilisha adhima yako mkuu,nitakupatia pasipo gharama yoyote.
Appreciate particular. Huyu Kwa mujib wa maisha yake na mipango yake Yuko nyuma ya muda. Ni sawa na kukuta Kuna wengine wakimaliza chuo pamoja n kukosa ajira, hawana mbele Wala nyuma lakin mitaani wanadunda vilevile. Wengine wanapata pa kujishkiza lakin wanawaza na kuchekecha zaidi wanasongaje mbele.Acha kukata tamaa mapema kuna wenzio wapo beyond 40 na wanategemea ndugu acha kukata tamaa kirahisi hivyo
✍️
sawa mkuuDogo unazingua, unaweza ukasoma chuo kikuu na bado usitoboe vile vile.
We jiue tu bana
Kujiua siyo Zambi. Inaweza kuwa dhambi.wakuu ingekua kujiua sio zambi ningejiua tuu maana Sasa maisha yananinyoosha
najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wamwisho chuo Mimi sinalolote lamaana dah
najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
hatachakula sitamani kwamawazo dah
yanisielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
ngojatu niche zambi kama miaka miwili niwe mtu waibada kwasana then najigongesha rod niepukane na haya mahangaiko
haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu niaibu mtoto wakiume
Uamzi wa kujiua uje ufuate zana za kukamilisha zoezi.
Hivi Mechanics unashindwaje kujiajiri? Embu kwanza niambie nani kuchagulia fani ya kusomea kabla sijakushaurimechanics mkuu.
Iyo ndo shida sipat picha ikifika 2030 huko itakuwaje yaan mtu kukosa ajira eti kisa kasoma kdg ndo anataka ajiue yaan ndo kafikiria wee soln kaona ajiue ndo mana vinapigwa sn mashine na vingi siku izi vinakuwa papaiMipumbavu sana yani tuna kizazi cha kilofa sana hata kupambanua mambo hawawezi,shida kidogo tu kuomba msaada ndomana vitoto vingi vya kiume vinapumuliwa
mkuu nilifeli kidato channe nikaenda veta nipo viziri kwenye ufundi injini na gia box shida nahaso sana kutafuta kazi sipati Hadi nakata tamaa.Hivi Mechanics unashindwaje kujiajiri? Embu kwanza niambie nani kuchagulia fani ya kusomea kabla sijakushauri
wee achatu mkuu.Kumbe hata chakula hutamani?...maana yake maisha sio magumu sana kwako.
Oya myebusi..Wekapo basi kapicha
sielewi mwanangu Yani daaUtatoboa mazee tuliza kichwa iyo