Haya maisha sio poa kwakweli

Haya maisha sio poa kwakweli

wewe bado kijana mdg ,una time ya kupanglia maisha jitulze anza polepole,

kuna mtu aliwah kusema chanzo kimoja wapo cha kupoteza furaha yako n kujilinganisha na wengne.

Mkuu,niamin mm ,,kuna watu magumu waliyoyabeba kama ungeyaona basi ungejiona unanafuu na ushukuru Mungu.
 
Dogo unazingua, unaweza ukasoma chuo kikuu na bado usitoboe vile vile.
We jiue tu bana
watu wanasoma hadi vyuo vikuu, halafu michongo inakataa anaamua aende veta, na anajilaumu sana kwanini hakwenda kabla. Tatizo hawa madogo wa wanaona kaka zao walipata hela kwa usiku moja.
 
Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha

Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah

Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo

Hata chakula sitamani kwa mawazo dah

Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee

Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko

Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Yahn wewe miaka 24 unalialia hivyo watu tuna 27 hafu safi tu.....umri bado komaa acha uzembe hafu punguza expection ili usiwe na stress pia usijilinganishe na watu..

Nasema iv bora wewe ina veta

Mimi ni ile sample ya vipanga darasan primary na secondary physics imelala ile ile cheti cha four kimenyooka hfu mpka sahv sielewi lakin nasukuma kete posho ya 5k kwa siku hafu tunaish......

Acha umama komaa dunia haina huruma
 
Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha

Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah

Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo

Hata chakula sitamani kwa mawazo dah

Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee

Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko

Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Acha uboya wa kutumia majina ya kukata tamaa,kama hukuenda kucheza veta,ama hukulazimishwa kuna siku utaona faida yake,ila ni pale utakapo amua,kwani inaonyesha ulisha upoteza utulivu wa akili,ama kwa kuzongwa na yasiyokuwa ya lazima kwako,ama mazingira uliyoyapitia kibinadamu.Ila jua mafanikio yeyote yanakuja kwa kuwa na utulivu wa akili.Miaka 24 bado mtoto,fikiria mtu anatusua kwenye miaka hata 50, keep fighting or die trying 🏃🏃🏃
 
Tunapoelekea sijui watoto wetu watakuaje, akili.zero na hawana uvumilivu
Shida wanajipeleka kuzongwa na yanayowazidi umri,hapo unaweza kuta chanzo,kama si mapenzi,ulevi,au uvivu au tamaa ya mafanikio ya haraka 🤔
 
Uzazi ndio unatoa Ajira ?
Kupanga uzazi itasaidia ku controll population. Tz tunazaliana sana yan kama panya,, hii inasababisha watu kuwa wengi na fursa kujaa (oversaturation of labour).

wakati tungetumia uzaz,, tungeweza kucontroll idadi yetu kulingana na available jobs& opportunities!!!
 
Vijana badilikeni kifikra. Hamna ajira iliyo bora duniani kama kujiajiri. Umewahi kumwona tajiri aliyeajiriwa labda awe mwizi au fisadi

Usikate tamaa
Kujiajiri n kuzuri ila sheria za kodi hii nchi ni ngumu mno. Just assume mm nmekodi frame
1.nalipa kodi ya frame kwa mwenye nyumba,,
2.nikinunua umeme nalipa tena kodi ya jengo kupitia luku ( na saiz kodi imepanda kutoka 1000 mpaka 1500 kwa mwezi)
3. Halmashauri bado hawajakufata ukakate lesen
4. Hujalipia bill ya maji na ulinzi
5. Hapo hujala
6.Hapo bado hujakutana na akina TBS,FIRE, WAKALA WA VIPIMO, etc
 
Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha

Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah

Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo

Hata chakula sitamani kwa mawazo dah

Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee

Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko

Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
umri huo mimi nilikuwa nimeishamaliza chuo ngazi ya diploma na nimehama nyumbani kutokana na masimango....unapokuwa unapambana na maisha tengeneza rejection spirit ya kuwa kuna watu wanafurahi na wana tamani waone unateseka...mimi ni muislamu lakini nimewahi kubeba kreti za pombe kwenye kampuni ya bia
 
kweli mkuu.juzi nilienda sehemu kutengeneza gari nikachafuka sana maoli tele fundí nilie msaidia akanipa buki tano tuu haliyakuwa yeyé kachukua milioni na ushee
nilijitukana sana mjini nafanyanini Sasa?
Hyo gari mlikua mnatengeneza ktu gan mpaka mteja akalipia million?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom