Mpunguze kuzaa kama panya wakati fursa za ajira na kiuchumi ni chacheUzazi ndio unatoa Ajira ?
Mpunguze kuzaa kama panya wakati fursa za ajira na kiuchumi ni chacheUzazi ndio unatoa Ajira ?
ndio mkuu.naishi dar kujichanganya najichanganya sema tunafanya kazi kwa ujira mdogo sana hadi mtu unajiuliza nitatoboa kweli kahela hii?
Wow, umejibu ki-pro🙌Pole, ujuzi uliosomea veta ni upi?
Acha kujifananisha na watu, na wao wana yao ambayo ukiyapewa hutoyaweza vilevile.
Usidanganywe na story za mtaan nipo ofisi x , mwanzon nliamin watu wanalipwa mishahara mikubwa sn ila nlipowaambia wang nkagundua nawazid mara 2 krb kila mwajiriwa wa ofisi x , punguza matumiz ya ajab hakuna ela ndogondio mkuu.naishi dar kujichanganya najichanganya sema tunafanya kazi kwa ujira mdogo sana hadi mtu unajiuliza nitatoboa kweli kahela hii?
1. Don't kill yourself (whether ni dhambi or not, una sababu za msingi zaidi kuishi so don't waste it)Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Unaweza jigongesha na usife, ukaambulia ulemavu uzidi kusumbua watuWakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Motivation speaker?Wee ni motivation speaker sio...!!!?
Mbona unaongea as if kwenda nje ni sawa na kwenda hapo tuu...
tumefanya ovaholu mkuu fod rangerHyo gari mlikua mnatengeneza ktu gan mpaka mteja akalipia million?
Ni rahisi kwa sababu nimepitia maisha ya dhiki ya kiafrika. Wala sijaandika kuburudisha.Rahisi sana kuandika kama hivi
Sawa mkuu hongera kwa kuchangia madaMotivation speaker?
Kwani ukishakuwa na plan nini kinashindikana? je ulishawahi jaribu kwenda nje ya tanzania ikashindikana?
Wanatunyoosha kweli kweliKujiajiri n kuzuri ila sheria za kodi hii nchi ni ngumu mno. Just assume mm nmekodi frame
1.nalipa kodi ya frame kwa mwenye nyumba,,
2.nikinunua umeme nalipa tena kodi ya jengo kupitia luku ( na saiz kodi imepanda kutoka 1000 mpaka 1500 kwa mwezi)
3. Halmashauri bado hawajakufata ukakate lesen
4. Hujalipia bill ya maji na ulinzi
5. Hapo hujala
6.Hapo bado hujakutana na akina TBS,FIRE, WAKALA WA VIPIMO, etc
Hujui ulichoandika. Nchi za kiafrika hazina maendeleo kwasababu watu wamewekeza kwenye elimu ya kuajiriwa kuliko ujuzi na kujiajiri.Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Huko kuwategemea ndugu umeamua wewe. Na usipozinduka na kujitambua watakutumia sana.Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Ukitaka ufeli maisha, wewe komaa na kazi hizi za viwandani sijui unalipwa 6000, saidia fundi 10,000 n.k.ndio mkuu.naishi dar kujichanganya najichanganya sema tunafanya kazi kwa ujira mdogo sana hadi mtu unajiuliza nitatoboa kweli kahela hii?

Unataka ulipwe milioni ngapi kijana? Rizika na hata hicho kidogo ipo siku utafika mbali.ndio mkuu.naishi dar kujichanganya najichanganya sema tunafanya kazi kwa ujira mdogo sana hadi mtu unajiuliza nitatoboa kweli kahela hii?
Uko sahihi.Kuna watu wamesoma hadi skull bas( yaana sasa shule basi tena)
Haina haja ya kujiua, sometime tunajifunza kwa vitendo ili tukomae kiakili. We fanya hivi chukua kila kilicho chako nenda bila kuaga,halafu ujitafute, mbele mbele yao (Journey to unkown). Unawaomba shemeji zako na shangazi kwa kuwa unakaa nao karibu na ukikosa tu chai ya asubuhi ushapiga simu.Ondoka hapo ulipo halafu tupa hiyo sim card, sajili mpya.
Anza kutengeneza cycle mpya ya hustlers.
Move on nigga.