Mdogo angu pole sana aiseee..Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣..... unakijua kilimo kweli?????ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
AlafuToka magetoni
Hauna dhambi mwana wa Mungu. Amka usingíziniNgoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Hao ni motivation speaker mkuu...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣..... unakijua kilimo kweli?????
Kabisa mkuuHao ni motivation speaker mkuu...
Mtaani mambo magumu sana lkin wazee wakiwa majukwaani au humu mtandaoni wanaongea as if wanatupenda sana na kututakia mema deep down hawana msaada wowote, lkn kama ni kijana wako au ndugu Yako humpi huu ushauri unapiga simu sehemu kijana ajibanze apate chochote ila wengn unawaambia mambo haya
Hebu muulize vizuri anakijua kiangazi huyu kweli unapanda heka mbili unavuna debe moja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣..... unakijua kilimo kweli?????
Mbele ukimaanisha wapi...?Mkuu kwa ujuzi wako huo tafuta namna toka bongo nenda mbele after 1 year kazi ukipata wewe ni mkurugenzi Tz... Ushauri wangu jiongoze mbele mkuu
Hiyo skills ni silaha kubwa au ni sawa na kifaru chakivita uwanja wa vita sema wewe waiona kama umeshika kisu...
Ulipoteaga wapi mkaldayo?Oya myebusi..
hadinajiuliza huu umli nispesho kwa mateso au vipi?Maisha ni kupambana mdogo wangu mimi mwenyewe na degree yangu hii nafanya umachinga apa mbezi mwisho na bado sijatoboa nina miaka 24.
Usikate tamaa mapema hauko pekee yako wote tunapitia hali ngumu hasa vijana wengi tuliopitia chuo kikuu. Kikubwa ni kumuomba Mungu atupe nguvu kwakweli
Pole chief na wengine tulikimbia umande mapema tumeridhika na Hali tulizo nazo mbn kikubwa maombi na juhudui ktk kupambania tongehadinajiuliza huu umli nispesho kwa mateso au vipi?
Wote tunapitia msoto kikubwa we kaza jitume kutoboa muachie Munguhadinajiuliza huu umli nispesho kwa mateso au vipi?
Fanya kazi kwa bidii na weredi pesa isiwe kipaumbele japo ni muhimu kuendeshea maisha. hususani kama bado ni mgeni kwenye tasnia.. wee endelea kupambana usichoke kuendelea kujifunza mkuu. Mambo ya ufundi yanataka uvumilivu kupata connection na kuaminiwa zaidi.ndio mkuu.naishi dar kujichanganya najichanganya sema tunafanya kazi kwa ujira mdogo sana hadi mtu unajiuliza nitatoboa kweli kahela hii?
sinatamaa yamaisha makubwa sana ninacho tamañi nikuwa na uwezo japo wakujihudumia mahitaji yangu mwenyewe bila kumtegemea ndugu.Wote tunapitia msoto kikubwa we kaza jitume kutoboa muachie Mungu