Lafacha
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 195
- 276
😆😆😆😆.. haelewi huyu . Eti anaona kilimo ndo mteremko.Hebu muulize vizuri anakijua kiangazi huyu kweli unapanda heka mbili unavuna debe moja
😆😆😆😆.. haelewi huyu . Eti anaona kilimo ndo mteremko.Hebu muulize vizuri anakijua kiangazi huyu kweli unapanda heka mbili unavuna debe moja
kweli mkuu.juzi nilienda sehemu kutengeneza gari nikachafuka sana maoli tele fundà nilie msaidia akanipa buki tano tuu haliyakuwa yeyé kachukua milioni na usheeFanya kazi kwa bidii na weredi pesa isiwe kipaumbele japo ni muhimu kuendeshea maisha. hususani kama bado ni mgeni kwenye tasnia.. wee endelea kupambana usichoke kuendelea kujifunza mkuu. Mambo ya ufundi yanataka uvumilivu kupata connection na kuaminiwa zaidi.
Acha kujilinganisha na watu, kila mmoja ana njia yake na muda wake wa mafanikio.Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Rahisi sana kuandika kama hivi1. Mfumo wa elimu Tanzania si tija hauna maana Wala manufaa.
2. Kusoma shule ni kukupa upeo wa kutambua Mambo kadhaa katika jamii na si kupata ajira Wala pesa.
3. Mechanical ulisomea VETA ifanyie kazi kuwa mbunifu nenda gereji ulizia ni changamoto gani mafundi wengi wanashindwa kufanya ufanye wewe. ( If you never try / do then forever you will never know. )
4. Fanya hata kibarua Cha kujitolea utapata ajira au connection ndani yake. Usibweteke kukaa kijiweni au JF.
5. Acha kuamini Mambo ya imani za dini muda mwingi wewe piga kazi kuwa mbunifu umiza kichwa Kuna Mambo bilioni kufanya bongo hata hao professor hawajafanya. Be a creator...
6. Jenga TAMADUNI za kujichanganya katika jamii ongea na kila mtu jadili Mambo kadhaa yenye tija.
7. Usimize kichwa kwa wakati uliopo Wala kukata tamaa, maana haijawa riziki, uache papara riziki yako Mola Mlezi atakuletea wakati wowote.
JIONGEZE KAMA MTOTO WA KIUME ACHA KULIA LIA KAZA MWENDO HIZO NI CHANGAMOTO UNATAKIWA UKABILIANE NAZO.
We unadhan Tatizo la ajira linasababishwa na nn?Uzazi ndio unatoa Ajira ?
Hata huyo aliyechukua million alianza kustruggle. Hazikuja tu weka bidii kwanza kwenye kazi ndani ya miaka mitatu hata mitano mbele utaona matunda.kweli mkuu.juzi nilienda sehemu kutengeneza gari nikachafuka sana maoli tele fundà nilie msaidia akanipa buki tano tuu haliyakuwa yeyé kachukua milioni na ushee
nilijitukana sana mjini nafanyanini Sasa?
Nje ya nchi ....Nje ya bongo kwa skills hiyo ya bongo ni kitu valuable sana,Mbele ukimaanisha wapi...?
😂😂😂😂😂 Daah sasa mkuuNje ya nchi ....Nje ya bongo kwa skills hiyo ya bongo ni kitu valuable sana,
Everything is possible.. don't limit yourself by your imagination😂😂😂😂😂 Daah sasa mkuu
Unajua utaratibu mpaka mtu anaenda nje unagharimu kiasi gani...!!?
Wee ni motivation speaker sio...!!!?Everything is possible.. don't limit yourself by your imagination
Kuna wengine wana umri kukuzidi, wana maisha magumu kukuzidi na hawana ndugu lakini hawawazi hivyo. Tuliza wenge dogoHaiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Kama ndoa ilivyo utapeli na elimu ya juu imekuwa utapeli pia.Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
UtotoWakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha