Haya maisha bhana!!

Haya maisha bhana!!

Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.

Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Kabla ya dully Sykes kutoka na juma nature nipo kariakoo kwenye zaga tu nakesha kaza jombaaaaa hatuka kukosa top twenty one day
 
Dah mimi na elimu yangu ya 4m4 naenjoy wala sijutii kuzaliwa😂😂😂😂 wenye alimu kubwa mnajidaigi mko level fulani sisi tunawaangalia mkiwa chuo mnajidai mnakula pisi kali ambazo mkimaliza chuo zinawakimbia zinakuja kwetu sisi 4m4 felia alafu tunazifaki mpka zinaenjoy maana zinajua tusipozifaki sisi hazipati maokoto. Ehhh Mungu ww ni fundi sana.

Kuna dogo kamaliza dip ana 2.9 gpa na kala shavu zuri tu naye anaenjoy maiaha kuliko ww wa 4.0.

Nikuambie tu hebu jichimbie kaburi ujizike unazidiwa maisha na nape kilaza😂😂😂 et makamba anakuzidi 😂😂😂 yaani unazidiwa hadi na bashite zee la kufoji dah maisha haya hayako fea kabisa😂😂😂
Nonsense!
 
Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.

Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
nikajua gpa ya nne koz ya doctor of medicine
 
Mkiambia nendeni VETA mnaona ushamba Sasa una GPA ndo Nini hata kibara saidia fundi nashindwa kukuita najua skills za handyman huna.
Aende veta kufanya nini mkuu labda ungemwambia angesomea uinjinia au udaktari wewe unashauri ujinga
 
Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.

Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Pole sana aisee, maisha ni safari iliyojawa na mambo kadha wa kadha, haya ni majira yako ya kuwa katika hali hiyo. Napenda kukutia moyo usikate tamaa amini kesho yako nzuri yaja. Nyakati ngumu kwenye maisha huja na kupita. Nakutakia mapambano mema, penda kujichanganya na watu usikae peke yako muda mwingi.
 
Back
Top Bottom