Adrian2716
Member
- Oct 23, 2023
- 98
- 293
- Thread starter
- #161
sawa sawa manpole sana mkuu usikate tamaa
sawa sawa manpole sana mkuu usikate tamaa
Sijui kwanini naona umejibu kidharau au kwa vile wewe unakula good time hapo kwenye kiyoyozi?
napambana mkuu ila basi tuRudia kusoma reply #48.
Mwamba kaandika vizuri.
Wakati wako bado
Kwa sasa fanya kinachowezekana kukuwezesha kuishi.
Huku ukijiweka tayari, wakati wako utakapofika uwe tayari.
sawa mkuuUshauri wangu ni ule ule.
Jitahidi kusoma vitu vya Ziada.
Wengine ujuzi uliotupa kazi ni nje ya Degree tulizosoma.
sawa sawa mkuuJiongeze kidogo na Tourism inaweza kukusaidia kwa mkoa uliopo.
Engineer wa GPA hajui hata kuweld,Aende veta kufanya nini mkuu labda ungemwambia angesomea uinjinia au udaktari wewe unashauri ujinga
Kwani mainjia hawafundishi kuweld harafu welding ni ka kadogo sana sana kwenye mechanical engineeringEngineer wa GPA hajui hata kuweld,
vETA is underated aisee!
Tourism department ipiJiongeze kidogo na Tourism inaweza kukusaidia kwa mkoa uliopo.
Hayo madegree ni kuandaa watu kukusanya data na sio skills.Kwani mainjia hawafundishi kuweld harafu welding ni ka kadogo sana sana kwenye mechanical engineering
Kukusanya data? Kweli wewe ni vetaHayo madegree ni kuandaa watu kukusanya data na sio skills.
Welding TU ni Pana na professional kama Boilermaker au Artisans
Wenye degree wao wape mchongo wa namna ya kuanzika proposal ya 'misaada ya watu wa marekani ' ,hutojutiaKukusanya data? Kweli wewe ni veta
mkuu achana naye huyu siyo wa kumjibu, ana andika ujinga wa kiwango cha lami
[/QUOTESUnamaa maana gani kusema kozi ya kawaida?Kwaiyo tusiseme ukwel kwamba dogo kapiga diploma ya koz ya kawaida
Yani mitanzania haipend kusikia ukweli
UKWELI NI KWAMBA DOGO KAPIGA DIPLOMA YA IYO FINANCE KUNA WATU WAMEPIGA MA MEDICAL LAB HUKO DEGREE NA WANA GPA KALI ILA WAKO BENCH HAWANA MAISHA SO KIJANA ATULIZE BOLI MSIMPE KICHWA ABADANI
Watu wa account and finance wapo pale bot wanasimamia fedha za nchi nzima huyo MD tukimpeleka pale ataweza?
Acha samaki atambe majini akija nchi kavu Hana lake.
Kwa hiyo uache dharau na Fani za watu.
Umekariri sana dogo wa veta mwalimu wako veta alikuwa NTA level gani au Na yeye aliishia VETA ? Veta ni kwa watu waliofeli na wenye uwezo mdogoWenye degree wao wape mchongo wa namna ya kuanzika proposal ya 'misaada ya watu wa marekani ' ,hutojutia
hujui unachokiongea ww,upate GPA Ya 4.0 degree kwa kukariri? ivi umeenda shule kweli weweUmewahi kuitwa kwenye interview? Na kama huwa unaanguka kwwenye interview unafeli jua hiyo GPA ulikuwa unakariri tu darasani
hujui unachokiongea ww,upate GPA Ya 4.0 degree kwa kukariri? ivi umeenda shule kweli wewe