Haya maisha bhana!!

Haya maisha bhana!!

Mungu anakuwazia mema ndugu yangu wala usikate tamaa. Wengi wamepitia mapito yako na sasa wako mbali. Muombe Mungu akufungue macho kwa sababu kuna opportunity nyingi sana katika dunia hii.
 
Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.

Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Nakuelewa japo wapo watakaokubeza!
Lkn nachoweza sema usikate tamaa!
Najua sio rahisi
 
Aisee mchakato wa maisha Ni shughuli pevu Sana sio ya kitoto tuendelee kupambana wakuu
 
Daah vijana bhana kusoma ni hatua moja ya maisha nadhani inatakiwa kubadilika kidogo kuwa kama wenzetu wa Nchi za Afrika Magharibi huko wao wakipata Elimu wanajua ni moja ya nyenzo muhimu zitakazomsaidia na wala sio kutembea na matokeo sijui ya G.P.A wala nini na tunawaona wapo kila pembe ya Dunia wakitafuta maisha...
 
Njoo site wewe tupige hela hizo kazi zenu za ofisini ni adimu nowadays bila connection
 
Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.

Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Kuna watu hawaelew anachopitia mkuu ila mim nakuelewa, Kuna mda najilaum juu ya faculty yangu niliyosomea na kutamani accounting leo naona mtu wa accounting analalamika hala dah!,

Tusikate tamaa kiongozi tuzidi kupambana
 
Back
Top Bottom