Hiyo nimeona baada ya kusafiri nchi zilizoendelea ,trade skills jobs zinalipa sana.Umekariri sana dogo wa veta mwalimu wako veta alikuwa NTA level gani au Na yeye aliishia VETA ? Veta ni kwa watu waliofeli na wenye uwezo mdogo
Sawa mkuu hapo itakuwa nimekuelewa sana afu Mimi labda nilichukulia personalMkuu labda lugha imekuwa ya direct sana ila huo ni ukweli.
Mtu mwenye GPA ya Nne kwa accounting and finance ni mtu ambaye kama hakuwa anakariri darasani sio mtu wa kukosa ajira na ikiwa anaitwa interview kabisa.
Shida ni kama haitwi interview ila kama anaitwa interview tena zenyewe hizo za UTUMISHI inabidi afaulu.
Interview za huko hata wenye GPA za Pass huwa wanapita vizuri tu na wala hawana connection. Sasa GpA ya 4 anafeli wapi.
Mkuu basi we kiboko nipe connection mkuuSio nimeenda shule tu, ninayo hadi Shahada ya Uzamili. Wewe unadhani kwanini waajiri wengi sasa hivi wameacha kuajiri kwa kigezo cha ukubwa wa GPA? Kwa sababu wengi wana GPA kubwa ila kichwani chenga tu.

Tujifunze kuwatia moyo wenzetu mkuu. Akariri asikariri wote tunapambania kesho iliyo bora.Umewahi kuitwa kwenye interview? Na kama huwa unaanguka kwwenye interview unafeli jua hiyo GPA ulikuwa unakariri tu darasani
Usichague kazi.....wenzio mpaka zege tulibeba.....vibarua mixer.....na vibiashara ambavyo wengine huvidharau....wanzuki..Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Sasa hivi bila kutoa chochote ajira utasikia kwa wakubwa tuWahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Tafuta hata mahali pa kujitolea!hata pakuanzia sipaoni mkuu
pole sanaWakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
NGO yako Iko mkoa ganiHiyo nimeona baada ya kusafiri nchi zilizoendelea ,trade skills jobs zinalipa sana.
Vipi unaweza kuandika proposal Kwa ajili ya NGO yangu
Tujifunze kuwatia moyo wenzetu mkuu. Akariri asikariri wote tunapambania kesho iliyo bora.
sawa mkuuTafuta hata mahali pa kujitolea!
pamoja mkuuJipe moyo as long as una afya njema bado una kila sababu ya kusonga mbele nakuamini ipo siku neema itashuka
Juzi nilienda muhimbili nikakuta kuna dada ziwa lake moja linatoa usaa ana maumivu makali amegundulika ana kansa anatakiwa afanyiwe operesheni lakini hana hiyo pesa ambayo ni kama laki 6!
Hapo alipo anasema anasubiri tu kufa,ana maumivu binafsi sijawahi kuona ndo niliona hapo!
Mshukuru Mungu ndugu yangu hata thread unaweza kuandika na bando unalo!