Adrian2716
Member
- Oct 23, 2023
- 98
- 293
- Thread starter
- #101
unaongea non senseIsje kuwa wewe hujasoma unakuja kukatisha tamaa wasomi......nyie ngumbaro tunawajua mnavyoponda vijana kisa hawajapata ajira.
Elimu Elimu Elimu
unaongea non senseIsje kuwa wewe hujasoma unakuja kukatisha tamaa wasomi......nyie ngumbaro tunawajua mnavyoponda vijana kisa hawajapata ajira.
Elimu Elimu Elimu
Umemaliza Mwaka Gani?unaongea non sense
unataka uniunganishe na job??Umemaliza Mwaka Gani?
njoo dm nikutumie baadhi ya documentUmemaliza Mwaka Gani?
Mkuu ingia kwenye academics hiyo GPA yako ni lulu. Uzuri wa academics interview mnajikuta wawili tu au watatu!!Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Hatari sana aisee.CPA somo moja 150k kaka
Dah, sasa kama wewe unajiona worthless kabisa, unafiki wengine watakuona nini?.nimecheka kama mazuri!
utasema nimekutuma uandike mana mm ndo najuta kila siku kwanini nimezaliwa! worthless kabisa
Nako kumejaa.Mkuu ingia kwenye academics hiyo GPA yako ni lulu. Uzuri wa academics interview mnajikuta wawili tu au watatu!!
Daaah hapo sawa mkuu ..Sikupewa hiyo hela.
unafikiri nna muda wa kujua wananionaje?Dah, sasa kama wewe unajiona worthless kabisa, unafiki wengine watakuona nini?.
Ni kweli mkuu.Daaah hapo sawa mkuu ..
Maana wengi wapo kule sio kusoma wanachpnda ila tuu pesa ya serikali
povuWatu mliosoma bwana,unadhani huyo anazidiwa nini na ambae amesoma sana na ameajiriwa mahali analipwa kwa kujilamba kwa boss na samahani samahani nyingi boss akinuna?
Hata wewe kama unajiona umesoma sana lakini hujajua kuwa duniani ili kuwe na uwiano lazima wawepo wasiosoma na waliosoma basi jua hata wewe bado kichwani ni kopo tu.
Umenena vyema, hapa ndipo vijana wengi wanafeli; expectations zao zinakuwa tofauti na uhalisia. Pakuanzia sio lazima pawe unapotaka wewe (at your kevel), fanya kinachowezekana, bila kujali hadhi uliyo nayo.hata pakuanzia sipaoni mkuu
Nimekupa fact unaita povu,wewe si umesoma sana huna povu njoo sasa utueleweshe hapa kwamba una nini cha ziada kuwazidi wasiosoma?na hata kama unacho je Tanzania hii wangapi mnafanana?povu
sisomi gazeti mkuu..byeNimekupa fact unaita povu,wewe si umesoma sana na huna povu njoo sasa utueleweshe hapa kwamba una nini cha ziada kuwazidi wasiosoma?na hata kama unacho je Tanzania hii wangapi mnafanana?
Au nduguzo waliosoma sana wana nini cha kusimama mbele ya hadhira ya wasiosoma wakawaambia sisi kwa elimu zetu za kuunga unga tuna hiki hiki na kile?obviously hakuna ni kujifariji na yes no yes no zenu tu hamna kitu,jifunze kuheshimu chaguzi za watu mtu amesema aliamua kuacha chuo akaingia mtaani kutafuta maisha wewe unamu-attack na maneno ya kukera ungekaa kimya ungepungua chochote?
Kujitolea nimekuelewa, vp kuajiriwa ? Lazima iwe Arusha pia?..AKITOKEA MTU AKANITAFUTIA PA KUJITOLEA ARUSHA NITASHUKURU SANA
Pointless!!!sisomi gazeti mkuu..bye
Sio kweli mkuu, kila siku kuna nafasi za kufundisha ziko re-advertised!! Niliona mzumbe walitaka tutorial assistants wawe na 4.0 ya Undergrad na zile posts zikawa re advertised few months ago meaning hawakupata applicants wa kutosha wenye qualifications.Nako kumejaa.