Haya maisha bhana!!

Haya maisha bhana!!

Pole sana aisee, maisha ni safari iliyojawa na mambo kadha wa kadha, haya ni majira yako ya kuwa katika hali hiyo. Napenda kukutia moyo usikate tamaa amini kesho yako nzuri yaja. Nyakati ngumu kwenye maisha huja na kupita. Nakutakia mapambano mema, penda kujichanganya na watu usikae peke yako muda mwingi.
sawa sawa mkuu
 
Mkuu upo serious?miezi miwili tu kitaa ushaanza kulia Lia?Mfano mm nimeamua nijiite sinia job less nasaka mwaka wa 8 huu,Ukipata tetesi wanaajiri tustuane dm Mzee baba
 
Sio kweli mkuu, kila siku kuna nafasi za kufundisha ziko re-advertised!! Niliona mzumbe walitaka tutorial assistants wawe na 4.0 ya Undergrad na zile posts zikawa re advertised few months ago meaning hawakupata applicants wa kutosha wenye qualifications.

Ila kazi zingine zote za entry level lazima applications zivuke buku
Inawezekana hawakupata au walioitwa hawakufikisha maksi za kubaki kuwa academician.
Unapokaa mtaani muda mrefu si rahisi kufaulu interview za academics kwani zingine zinahitaji vitu vya ndani sana ambavyo wengi wanakuwa wamesahau.
 
muambie mkuu
 
Sasa wanaosoma MD wasemaje boss tena ww diploma wenzio wamepiga five na six PCB na chuo wakasoma MD na wengine wamemaliza chuo ila wamekosa kaz

JAMII FORUMS KUNA MAFISI
Kwa hiyo unashauri watu wote wasome MD au unashauri kozi za account and finance zifutwe?
Hao MD wakifungua hospital zao hawahitaji accountants?
Au Kila kitu wanafanya wenyewe mpk kutengeneza magari yao?
 
Mm nimetoa life experience kwamba kuna ambao wamehaso kuliko yy ila hawana maisha bado so asijione mnyonge

Haya ya nn kunifokea

JAMII FORUMS KUNA MAFISI
 
Mm nimetoa life experience kwamba kuna ambao wamehaso kuliko yy ila hawana maisha bado so asijione mnyonge

Haya ya nn kunifokea

JAMII FORUMS KUNA MAFISI
MD iliingiaje hapo? Kwani waliosoma kozi nyingine hawahaso?
Ukakashifu na diploma yake kana kwamba si qualifications waakti amesoma na degree hata hujaona.
Kwa kifupi ulimuandermine.
 
Kwaiyo tusiseme ukwel kwamba dogo kapiga diploma ya koz ya kawaida

Yani mitanzania haipend kusikia ukweli

UKWELI NI KWAMBA DOGO KAPIGA DIPLOMA YA IYO FINANCE KUNA WATU WAMEPIGA MA MEDICAL LAB HUKO DEGREE NA WANA GPA KALI ILA WAKO BENCH HAWANA MAISHA SO KIJANA ATULIZE BOLI MSIMPE KICHWA ABADANI
 
Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.

Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Bongo elimu pekee haitoshi.. inabid uwe na degree nyingne ya kunyenyekea watu na kulamba sana matacle ya watu... Ita sana watu majina kama haya
Mkuu
Kiongoz
Tajir
Muheshimiwa
Mzee baba

Hapo utatoboa
 
Sio kweli mkuu, kila siku kuna nafasi za kufundisha ziko re-advertised!! Niliona mzumbe walitaka tutorial assistants wawe na 4.0 ya Undergrad na zile posts zikawa re advertised few months ago meaning hawakupata applicants wa kutosha wenye qualifications.

Ila kazi zingine zote za entry level lazima applications zivuke buku
Ina maana hizo GPA famba, ni vilaza wako empty academically. Hawawezi kufundisha vipanga.
 
Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.

Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Pole man!

Usijilaum coz ulitimiza wajibu wako mkuu!

Mwambie Mungu akusidie pa kuanzia yaani kazi ambayo itakupa amani Ili ikupeleke Kule uliposomea yaani kwenye kilele cha kile ulichosomea!mwambie kianzio eeh Mungu pa kuanzia!!

Tatizo hi mfumo tu!!
 
Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.

Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
pole sana mkuu usikate tamaa
 
Back
Top Bottom