Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,098
- 4,831
Kwa dunia ya sasa ukisoma kwa kukariri kwamba baada ya kumaliza shule utaajiriwa basi utakufa kwa stress mapema sana.
Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
