Haya maelezo ni uongo juu ya A220-300

Haya maelezo ni uongo juu ya A220-300

Haaa, wapi nimekanusha kwamba Tanzania sio nchi ya kwanza kumiliki a220-300 kwa africa? Soma vizuri kabla ya kucomment kwa mihemuko
Jana nilibahatika kukutana na mtu aliyeenda eyapoti kushuhudi Airbus a220-300 yetu mpya ikiwasili, amesema inanukia upya.

Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.

1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.

Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.

Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Magazeti, maredio na matv ya TZ awamu hii yamekuwa ya hovyo kabisa. Hayafanyi tena facts check! lolote linalosemwa yanabandika tu kama lilivyo, hayana day 2 story!!
 
Majibu
1. Si kweli kwamba ilisemwa ni ndege kubwa kuliko zote Africa. Huo ni uongo na mhemuko tu wa kichadema. Kwani deamliner yetu ni kubwa mara tatu ya hii airbus. Rudia kusoma vizuri kwa utulivu bila kuhemuka.

2. Ni kweli katika Afrika Tanzania ni nchi ya kwanza kabisa kumiliki aina hii ya ndege. Soma ujue ukweli kuwa kampuni hii ina shea na kampuni gani na ndege hii ni toleo jipya kugona ndege ipi.

3. Hayo ni mawazo yako na mabavicha yenzenu yenye njaa kwa kuwa mlizoea kula kwa kubangaiza na kiujanjaujanja. Nchi nyingi tu tayari zimeagiza kutengenezewa ndege hii mpya ikiwamo na sisi tuliopata ndege mbili.

Mwisho.
Akili zenu ni za kipumbavu. Kauli zenu za kupinga na kupotisha kila jema linaloyendwa na serikali kwetu sisi ni changamoto ya kuendelea zaidi. Endeleeni kutusindikiza hivo hivo na porojo zenu. Kumbuka mwaka unaokuja ni wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Tutachukua 98% ya kila kitu n 2020 unajua kitakachotokea.
Ungeandika bila kutaja sijui bavicha ningekuona wa maana sana kwa sababu mimi.mwenyewe nina kadi ya kijani na nipo limumba pale.

Maelezo yako nayakubali ila hayaondoe ukweli kwamba watanzania wengi wamepotoshwa na cha ajabu hawataki kuelewa ukweli.

Ndege hii ni nzuri sana ila sio kwa sifa inazopewa.

Kuhusu kuwa wa kwanza africa mkuu sijasema kitu kama hicho , soma vizuri bandiko langu.
 
Magazeti, maredio na matv ya TZ awamu hii yamekuwa ya hovyo kabisa. Hayafanyi tena facts check! lolote linalosemwa yanabandika tu kama lilivyo, hayana day 2 story!!
Hatuwezi kuendelea kwa takwimu za kupika. Hapa napata shinda sana ukizingatia na ule mswada wa takwimu uliopendekezwa.

Africa tunashindwa kuendelea kwa sababu hatutaki kukubali ukweli.

Siku tukikua tukafikia kimo cha kuwa tayari kukubali ukweli nadhani tutafanya makubwa zaidi kuliko haya tunayo yafanya sasa. Uwezo tunao ila akili ndio tunaziweka mfukoni.
 
Pamoja na kwamba jiwe ni muongo wa kutupwa, ila hiyo namba 3 ya mleta mada sidhani kama amesema hivyo. Pamoja uongo wake jiwe, kwa hilo namtetea.
Once muongo always muongo. Mkuu jamaa kesha julikana kuwa anadanganya sana hivyo hata uki msikia vibaya unapeleka hukohuko.
Sijui akianza kusema ukweli ataugua au vipi!
 
Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.

1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.

Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.

Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Hatuna waaidishi wa habari, kuna makanjanja wa habari... kutuliza njaa! , njaa
 
Omba omba kivip mkuu ? Hii ndege ni direct competitor wa boeing 737 max.
Boeing 737 max lilikuwa pendekezo la mwanzon lakin kutokana na muda airbus ikachaguliwa.
Niweke sawa hapa mkuu! Ina maana tukitaka kununua Boeing 737 na si bombardier cs300?
 
Tunatamba kuwa na ndege ya aina yake Afrika au nafuu ya uchumi Tanzania. Sasa tunajinadi kununua ndege na kucheza twist, je watoto wetu wana madarasa ya kutosha au watumishi na wastaafu achilia wakulima na wafanyabiashara wana hali njema kimaisha? Tuoongee upana wa uchumi kiujumla, naona kama Tanzania tunaelekea kushoto badala ya kwenda kulia.
Kwa sasa hivi kuna zaidi ya takribani wanafunzi 2000 kwa kila mkoa wameachwa kwenye selection kuingia kidato cha kwanza 2019 sababu tu ya ukosefu wa vyumba vya madarasa. Upande mwingine tunanyongana kuhakikisha vyumba vinapatikana kwa kuchangishana kwa lazima halafu wengine wanachukulia simple. Ni wazi hakuna anayepinga wazo la serikali kununua madege yasiyopatikana kote Afrika ila tungemalizana na adha ndogo ndogo za ndani. Wapanda ndege wengi ni watumishi was serikali na wafanyabiashara was ngazi za juu tu. Tena hawo wafanyakazi watalipiwa nauli kwa kodi zetu.
Tuamue kuweka vipaumbele vya kuanzia na siyo kukimbilia vitu ambavyo eti wenzetu hawana halafu tunasahau Shule ambako ndiko tutawapata hawo marubani kama Mabula.
 
Mkuu ivi unadhani kukubali uongo ni uzalendo, hapa tunaelikishana hata Magufuli akisoma hapa atakubaliana nami.
Jina lako lenyewe tu linaakisi uhalisia wa namna ya ubongo wako ulivyotingishika vibaya sana kwa akili za usiku ulizonazo.
 
1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.
Hakuna mtu yeyote aliyesema hii Airbus A220-300 ni kubwa kuliko Dreamliner 787-8 na kama una ushahidi ulete hapa. Hapa umejichanganya mwenyewe labda ulikuwa na jazba wakati yanatolewa hayo maelezo wamesema hiyo ndege kwa Africa, Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kumiliki
1545716124554.png

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.
Tanzania imenunua Airbus A220-300 na si Bombardier CS300 hivyo ni kweli Tanzania ni nchi ya Kwanza Africa kumilikia aina hii ya Ndege na si Bombardier.
3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.
Mh Rais siku anashuhudia utiaji saini wa mradi wa Stiegler's Gorge alisema kabisa ata ndege tunazo nunua Airbus A220-300 sisi tunanunua 2 na wenzetu Wamisri wananunua zaidi ya 10 tafuta ile hotuba na hakuna mahala mtu alisema hakuna nchi za Africa ambazo zina uwezo wa kumiliki aina hiyo ya ndege. In Short Africa hakuna anaemiliki Airbus A220-300 zaidi ya Tanzania na si kama hana uwezo ila toleo hilo ni jipya sie tuliwahi tu kutokana na order yetu ya Bombardier kubadilika na kuletewa Airbus hivo angalia usinganye habari
 
Hah
Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.

1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.

Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.

Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Hahahaaaaa kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.
 
Tuanze na wewe, ina maana hujawahi kuwaambia Wanao kuwa wewe Darasani ulikuwa mara zote unashika namba moja?
 
Umeshaanza kujikataa eeeh!...?

MAGUFULI SIMAMIA PAPO HAPO TU WALA USIACHILIE MAANA MUNGU NDIYE ALIYETULETEA WEWE UTUNYOSHE WAPIGAJI MADILI.

Back
Top Bottom