Bikomabilioni
Member
- Nov 10, 2018
- 46
- 33
1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.
2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.
3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia.
Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Pumbavu sana wewe...umetuletea porojo bila ushahidi wowote?....Bora shule zifunguliwe tuepukane na huu upupu....