Haya maelezo ni uongo juu ya A220-300

Haya maelezo ni uongo juu ya A220-300

Boss nikusahihishe. misri walipeleka order ya ndege 14 , lakin mpaka sasa hawaja receive jata moja. Bado airbus wako kwenye mchakato wa ku deliver ndege hizo.

Tanzania waliwah kupeleka order mapema ndio maana wamepata ndege mapema kabla ya misri.
Kwaio sio wa kamoja tuko JUU? Hahahaa this is a joke.
 
Hivi wewe n mfuasi wa lisu nn??
Hvi unafikir hzo hotuba za rais unazfatilia mwnyw au unasimliwa na watu wny television majumban mwao????[emoji55][emoji55]anyway sitak kujua kama huna tv maana hayanihusu
1.nan alosema hyo ndege n kubwa kulko zote africa?? Unajua kwamba south African airways inamiliki ndege kubwa aina ya B747 toka kipind hcho cha alliance na ndio ndege ya pili kubwa ikiongozwa na A380 kwa sawa....! Najua haujui na ndo maana nakujuza ndo maan unalopoka kwa mkusingzia jiwe kasema huku we ndo umesema
2.Kampuni ya ndege ya AIRBUS ynyw ilidhibitisha kuwa A220_300 ndio ndege ya kwanza afrika na Tanzania ndio inchi pekee!. Mind you! Hata kabla ya airbus kununua hisa nyingi 50+ bombardier hawakupata order kutoka nchi za afrika tofaut na tz(bongo land) ila kwa sasa kuna order imewekwa kwa nchi ya misri
Wapi nimeandika Rais kasema? Acha umbea kucjonganisha wananchi na Rais wao mpendwa na mchapa kazi.
 
Ntatoa laki sita unitajie nchini inayomiliki CS300/A200-300 kwa Afrika ukitoa TZ ntakupa na kujitoa JF
Umelipwa hela zako za korosho? au ulikuwa unatudanganya kuwa umedhulumiwa na jiwe? Kwanini ulimsingizie jiwe a.k.a malaika mkuu kuwa amekudhulumu hela za korosho??!!
 
Aijasema jiwe ndio kadanganya, tafadhali. Nadhani jiwe amejitahidi sana kuliko wasadizi wake kama wewe.
Maneno kibao hapo umejitungia mwenyewe alichosema Jiwe ni kingine we umemlisha maneno yako ya uongo bila aibu
 
Huku nikukosa point, wapi nimemtaja jiwe. Nimesema waandhishi wa habari wajirekebishe kabla ya kuandika
 
Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.

1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kwa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.

Hivyo kusema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.

Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.


Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
1, 2, na 3 ni ongo ambazo umezitunga wewe.. Sijawahi zisikia ongo hizi popote zaidi ya kuziona kwenye uzi huu
 
Mkuu ameeleza kuwa a350 ni ndege kubwa kupita a220-300 na Ethiopia tayari wamenunua 9. Hivyo tunaposema a220-300 ni ndege kubwa kuliko zote au hakuna nchi africa inyoweza kununua ni ujinga.
Mkuu hiyo kauli kwamba A220-300 ni ndege kubwa africa hakuna anaeweza kununua nimeisikia kwako. Binafsi nilimsikiliza rais na viongoz wengine kwa ukaribu sana lakin hawajatamka haya maneno kabisa.
 
Binafsi nimesoma zote. Delivery haijafanyika bado mpaka sasa.. otherwise airbus au bombadier wenyewe wangetangaza kuwa egypt ni ya kwanza africa kuwa na hii ndege.
Still ziko kwenye phase ya testing.. delivery hajafanyika bado.
Uzwazwa ni kusema kweli

EgyptAir names early CS300, B787 delivery dates

EgyptAir Orders 24 Bombardier CSeries CS300 | Airways Magazine

Nakuachia assignment ya kujua tarehe ngapi imemalizwa ya kwanza.. Its best for your brain to stretch
 
Yes it is a joke if you said so.
Siitetei serikal ila unachochanganya ni wingi wa ndege vs nani wakwanza kupata.

Correction ni kuwa tanzania ili order mbili. Sio moja.
Na sababu tanzania wame order ndege chache ndio maana process na delivery zimefanyika haraka na ndege zimekuja mapema.
Misri wana order 14.. lazima wachelewe kwa wingi wa ndege walizoweka order.
Kwaio sio wa kamoja tuko JUU? Hahahaa this is a joke.
 
Hapana. Bali tz tume order ndege mbili tu. Kutokana na uchache huu imekuwa rahis kwa manufacture ku deliver ndege mapema.

Lakin misri wana order 14.paka kuzimaliza zote ni muda. So lazima ichukue muda mrefu kidogo.. wao sababu ya wingi wa ndege hawata receive mapema.
Mean that mwenye nguvu kapishwa achukue chake,JPM wa TZ ana nguvu wamempa bila kulemba lemba.
 
Hii ndege kununuliwa imewauma sana baadhi ya watu wenye nongwa na maendeleo ya nchi hii, kwa sasa wanatunga uongo na kujijibu.
 
Teheteheeee,uongo uliopindukia wa jiwe unafanya hadi watu wamchomekeee.

Nikikumbuka jiwe alivyo jitoa kifua mbereee na kudai eti nahodha wa mv nyerere ni daiwaka tuu asie na taaluma yoyote ile ya unahodha.
Ha ha ha ha haaa.. Jiwe anamasikhara sana, eti deiweka, imekua hiace hiyo.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Instagram%20media%20-%20BrzN4BWAKuJ.jpeg
 
Tatizo kiongozi wenu aliwadanganya ya kwamba serikali haina pesa cha kushangaza mheshimiwa anaponunua ndege kwa pesa tasilimu inawachanganya sana hasa ukizingatia mmeshindwa kujenga hata chumba kimoja cha ofisi makao makuu ijapokuwa mnapata ruzuku ya zaidi ya milioni miatatu Kwa mwezi.
 
Utakaporudishiwa kodi yakichwa ili kuliendesha shirika usinune
Japo hakinufaishi 80%ya watz.... JPM ashukuriwe japo kwa uthubutu...
Kwa kupongezwa apongezwe..

Afadhali hata TZ Inaongelewa kwenye aviation sasa
 
Hizi ndege tume lease kumbe? Nilizani tumelipa cash.
Mtanifanya nife kwa pleasure mjue.
 
Back
Top Bottom