"KWELI SHETANI AKIZEEKA HUJIGEUZA KUWA MALAIKA KAMA WEWE"Mkuu ivi unajua kichaa ndio huona walio wazima ni vichaaa.
serikali haijanunua ndege ya yoyote aina ya A200-300 ila imenunua Airbus A220-300 inabeba abiria 160 wakati Dreamliner inabeba abiria 262,haya ebu niambie wewe umetumia kigezo gani kusema hiyo ndege ni kubwa kuliko dreamlinerMkuu unaonekana hata huna uelewa wa unacho kisema, unaijua dreamliner? Kwako ukubwa wa ndege nini? Chunguza tuu idadi ya abiria kati ya dreamliner na a200-300 . Au chunguza bei ya kila moja. Mbona wabongo tunakua kama mazuzu.
Mean that mwenye nguvu kapishwa achukue chake,JPM wa TZ ana nguvu wamempa bila kulemba lemba.Misri walipeleka order lakin mpaka saaa airbus hawajafanya delivery ya hizo ndege.
Means bado hawajaletewa hizo ndege mpaka sasa.
Acha wivu wa kike wewe juha.Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.
1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.
2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.
3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.
Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.
Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.
Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Wananchi wachache tu hivyo halisumbui hata yesu wayahudi walimtandika fimbo so tuliaMkuu hivi kwanini Magufuli anapingwa kinyama sana na wananchi wake ?
Huo ushuzi wako una ukweli gani?.....Hutaki ukweli mkuu, au inauma umedanganywa na utu uzima wako.
Wachawi wapo wakwanza huyu hapaLa kujiuliza ni kwanini nchi zingine za Africa hazijanunua hiyo ndege.
Yawezekana wamefanya home work ya Cost-Benefit analysis wakaona haina haja ya kununua ndege hiyo.
Mbona wewe jamaa umeandika uongo,unaweza kutuwekea kaclip tusikie kilichsemwa,tatizo linalokusumbua ni chuki,moyo wa husda,bebu tuondolee uharo wako hapa!Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.
1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.
2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.
3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.
Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.
Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.
Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Usiikuze sana, sema baadhi ya wananchi wake wachache. Na hao wanatokana na kupandikizwa chuki na viongozi wao wa Vyama hasa upinzani. Wakiongozwa na Lissu /ZittoMkuu hivi kwanini Magufuli anapingwa kinyama sana na wananchi wake ?
Kwa hiyo ,ulikuwa unataka tuwe na swaga za bado mchakato unaendelea kwenye kila jambo bila kufika mwisho.Watanzania hatuna akili za kindezi kama hizi!!
Hivi wewe n mfuasi wa lisu nn??Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.
1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.
2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.
3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.
Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.
Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.
Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Huyu jamaa achana nae m nahisi anavinasaba vya ukichaa sio bure[emoji40]serikali haijanunua ndege ya yoyote aina ya A200-300 ila imenunua Airbus A220-300 inabeba abiria 160 wakati Dreamliner inabeba abiria 262,haya ebu niambie wewe umetumia kigezo gani kusema hiyo ndege ni kubwa kuliko dreamliner
kabisa mkuuHuyu jamaa achana nae m nahisi anavinasaba vya ukichaa sio bure[emoji40]