Nakukumbusha sio 14 ni 24Yes it is a joke if you said so.
Siitetei serikal ila unachochanganya ni wingi wa ndege vs nani wakwanza kupata.
Correction ni kuwa tanzania ili order mbili. Sio moja.
Na sababu tanzania wame order ndege chache ndio maana process na delivery zimefanyika haraka na ndege zimekuja mapema.
Misri wana order 14.. lazima wachelewe kwa wingi wa ndege walizoweka order.
Hapa ndio kisema tumepogwa?
nisawasawa na kujisifu kuwa una passo moja na jirani yako ana landcruiser tisa
TANZANIA
CS300/A200-300 -medium-range jet airliner with Capacity of 108 to 133-seat passengers
Unit cost US$ 89.5 million
Idadi ya ndege moja (1)
ETHIOPIA
Airbus A350 - long-range, twin-engine wide-body jet airliners with capacity of seat 280 to 366 passengers
Unit cost US$317.4 million
Idadi ya ndege tisa (9)
Hujasoma vizuri bosi acha mihemko rudia kusoma kama kuna sehemu kasema siyo nchi ya kwanza kumilikiNtatoa laki sita unitajie nchini inayomiliki CS300/A200-300 kwa Afrika ukitoa TZ ntakupa na kujitoa JF
Ntatoa laki sita unitajie nchini inayomiliki CS300/A200-300 kwa Afrika ukitoa TZ ntakupa na kujitoa JF
Mtatiro hana ubongo wa barafu
Mama mwambie mwenyekiti, mashekh wetu awapeleke mahakamni1) Wewe ndiyo muongo. Nani alisema hii ni ndege kubwa katika Afrika?
Hii ni ndege ya kwanza katika Afrika kwa ndege za aina ya Airbus a220-300 na ya tano katika dunia na zipo zingine 400 kwenye order ya kununuliwa mpaka December 2018.
Ushahidi wa kwanza: Air Tanzania Becomes First Airbus A220-300 Operator In Africa | Airways Magazine
Ushahidi wa pili: Air Tanzania becomes first African-based A220 operator
Dogo unastess kweli Egypt wali-order ndege10 bado hawajapata ata moja mpaka mwaka kesho
Acha uongo.................Egpty Air wana mpango wa kununua Airbus A220 - 300 or CS series 300 sasa iviMisri kampuni yao ya EgyptAir wamenunua hizo 24 mwaka jana
Acha uongo.................Egpty Air wana mpango wa kununua Airbus A220 - 300 or CS series 300 sasa ivi
soma hii link: List of Airbus A220 orders and deliveries - Wikipedia
nimefanya kautafiti kadogo wanaompinga JPM wapo katika makundi kadhaaMkuu hivi kwanini Magufuli anapingwa kinyama sana na wananchi wake ?
Utoe laki 6 wkt wewe unalipwa buku 7Ntatoa laki sita unitajie nchini inayomiliki CS300/A200-300 kwa Afrika ukitoa TZ ntakupa na kujitoa JF
Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.
1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kwa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.
2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.
3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii.
Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.
Hivyo kusema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.
Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.
Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Hii ni ndege ya kwanza Africa A200-300 lakini sio big dealNtatoa laki sita unitajie nchini inayomiliki CS300/A200-300 kwa Afrika ukitoa TZ ntakupa na kujitoa JF
wenzio hatutumii WIKIPEDIA ku argue professionally mkuu. Umesoma wapi? Shule ya kata nin? Soma source zenye uhakika sio kuokota okota tuu google.Acha uongo.................Egpty Air wana mpango wa kununua Airbus A220 - 300 or CS series 300 sasa ivi
soma hii link: List of Airbus A220 orders and deliveries - Wikipedia
Akikutajia na mi naondoka JFNtatoa laki sita unitajie nchini inayomiliki CS300/A200-300 kwa Afrika ukitoa TZ ntakupa na kujitoa JF
wenzio hatutumii WIKIPEDIA ku argue professionally mkuu. Umesoma wapi? Shule ya kata nin? Soma source zenye uhakika sio kuokota okota tuu google.
EgyptAir names early CS300, B787 delivery dates