Naona unazusha uongo mwenyewe halafu unakana tena mwenyewe, hii mpya kwa kkweli.
1.Sio ndegekubwa kuliko zote Africa hata dreamliner tu inaizidi hii airbus na kila mtu anafahamu hilo
2.Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kununua hiii ndege
3.Nchi yoyote ikiamua kuachana na rushwa inaweza kununua hii ndege
Yaani hizi siku kadhaa tu mbowe kuwa ndani Chadema mmekuwa na hoja dhaifu kiasi hiki,vipi akikaa miezi huko