Haya maelezo ni uongo juu ya A220-300

Haya maelezo ni uongo juu ya A220-300

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.

1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.

Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kwa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii.

Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.

Hivyo kusema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.

Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
 
1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia.

Acha kukariri mkuu!
 
Mbona unatumia nguvu nyingi mno kukanusha, na kama tumedanganywa what is the point?
 
Naona unazusha uongo mwenyewe halafu unakana tena mwenyewe, hii mpya kwa kkweli.
1.Sio ndegekubwa kuliko zote Africa hata dreamliner tu inaizidi hii airbus na kila mtu anafahamu hilo
2.Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kununua hiii ndege
3.Nchi yoyote ikiamua kuachana na rushwa inaweza kununua hii ndege
Yaani hizi siku kadhaa tu mbowe kuwa ndani Chadema mmekuwa na hoja dhaifu kiasi hiki,vipi akikaa miezi huko
 
1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
umeandika kishabiki sana
 
Mkuu unaonekana hata huna uelewa wa unacho kisema, unaijua dreamliner? Kwako ukubwa wa ndege nini? Chunguza tuu idadi ya abiria kati ya dreamliner na a200-300 . Au chunguza bei ya kila moja. Mbona wabongo tunakua kama mazuzu.
Naona unazusha uongo mwenyewe halafu unakana tena mwenyewe, hii mpya kwa kkweli.
1.Sio ndegekubwa kuliko zote Africa hata dreamliner tu inaizidi hii airbus na kila mtu anafahamu hilo
2.Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kununua hiii ndege
3.Nchi yoyote ikiamua kuachana na rushwa inaweza kununua hii ndege
Yaani hizi siku kadhaa tu mbowe kuwa ndani Chadema mmekuwa na hoja dhaifu kiasi hiki,vipi akikaa miezi huko
 
Haaaa, wabongo wazushi sana. Ndege hii ni ya kawaida sana
Pia, inasemekana kuwa hakuna kiwanja inapoweza kutua hapa Africa isipokuwa JKNIA...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binadamu bhana
 
1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Mkuu naomba nitajiae nchi moja ya Africa ambayo inamiliki AirBus A220 - 300 or CS series 300..........................
 
Back
Top Bottom