Haya maelezo ni uongo juu ya A220-300

Haya maelezo ni uongo juu ya A220-300

Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.

1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.

Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.

Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
3) Huu ni uongo wako na team ya mitandao ya Ufipa. Onesha nani amesema maneno hayo zaidi ya misukule ya Mbowe.

Hamna hoja, hamna sera, mmebaki kuhaha kama mbwa koko kuchakura kila jalala kutafuta makombo yaliyochacha na kuyafakamia. Mtalishana wenyewe hayo makombo ya jalalani, sisi tumesha book safari zetu ndani ya kitu kipya Airbus a220-300.

Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.

1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.

Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.

Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.

EgyptAir wameagiza 12
Tanzania wameagiza 2 na kupokea moja.
Airbus ni label tu!
Na Tanzania imechangamkia tenda kama mteja yeyote.
Kazi itaonekana katika uendeshaji.
 
Sasa mkuu unacho bisha hapo ni nini? Kipi ambacho sio sahihi?

Unataka kusema nchi zote africa zimeshindwa kununua ndege hii?
Ndo useme ni nchi gani yenye ndege kama hii A200-300. Kijana uje na ushahid wa nchi yoyote barani Afrika yenye ndege kama hii. Usituleteee story za kijiweni ss, ukija hapa uwe na fact(s) za kutosha.

Mwisho; stori za kijiweni peleka jangwani kuleeee utawakuta wenzako wanaogelea na usijaribu tena kupotosha watanzania kwa uzi wako usikuwa na mantiki. Jaribu kudadafua hoja za kujiweni kabla hujaleta hapa jukwaani.......
 
Pamoja na kwamba jiwe ni muongo wa kutupwa, ila hiyo namba 3 ya mleta mada sidhani kama amesema hivyo. Pamoja uongo wake jiwe, kwa hilo namtetea.
Aijasema jiwe ndio kadanganya, tafadhali. Nadhani jiwe amejitahidi sana kuliko wasadizi wake kama wewe.
 
Mkubwa hata Boeing 787 sio ndege kubwa kwa Boeing, tuna 777-200 na 777-300 zinabeba watu wengi zaidi. Sifa ya boing 787 ni kwenda masafa marefu angani bila kuongeza mafuta.
Sawa lakini ukisema Tanzania tumenunua ndege kubwa kuliko zote (a220-300) una sahahau kuwa timesha nunu dreamliner 787 ambayo hata kwa idadi tuu ya abiria imeizidi mbali sana a220-300.
 
Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.

1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.

Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.

Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Dah...dadadeki...nimesoma mara 100...lakini sijaelewa kitu...wenye uelewa mkubwa watueleweshe tafadhali.....dah[emoji41]
 
Namba mbili labda uliielewa vibaya Mkuu,,,,mimi nilisikia akisema tangu kampuni ianze kutengeneza ndege za kizazi hiki hakuna nchi ya Africa iliyonunua mpaka sasa ukiiondoa Tanzania,,,,ambapo alieleza Misri itafuata kwa kununua Ishirini kama hizi.
 
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
Maendeleo Hayana Chama

Ma ~ Professor Wengine Ni Wa Hovyo Hawana Uzalendo Mmoja Nilimfukuza Hapo Hapo Kila Ukiteua Mwanamke Wanasema Hawala Yake
 
Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.

1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.

Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.

Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Sasa ikiwa hata kampuni ya airbus wenyewe wamesema kuwa Tanzania ndio mteja wao wa kwanza kutoka Afrika kununua aina hii ya ndege, wewe unabisha nini! Ina maana wewe unazijua airbus hata kuliko wanaozitengeneza!! Hii kasumba ya kupinga kila kitu mwishowe inageuka ujinga wa aina fulani hivi.
 
Naunga mkono kufufua shirika letu la ndege lakini haya hapa chini ni uongo.

1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.

2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.

3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia kwa sababu , bei yake i ya kawaiada sana. Dreamliner 787 moja ni sawa na a200'-300 kama 3 hivi. Ethiopia wana dreamliner 787 kama 29 hivi.

Hivyo kuaema hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua hizi ndege ni kujidanganya. Kujiona ni simba wakati kila mtu anakuona ni paka.

Tanzania kuwa ya kwanza africa ni sawa na kuwa wa kwanza kuingia chumba cha mtihani. Baada ya miezi michache kuna nchi Africa zitanunua ndege nyingi aina hii kupita tz. ( nyongeza), egypt imeweka order ya ndege 14.

Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Majibu
1. Si kweli kwamba ilisemwa ni ndege kubwa kuliko zote Africa. Huo ni uongo na mhemuko tu wa kichadema. Kwani deamliner yetu ni kubwa mara tatu ya hii airbus. Rudia kusoma vizuri kwa utulivu bila kuhemuka.

2. Ni kweli katika Afrika Tanzania ni nchi ya kwanza kabisa kumiliki aina hii ya ndege. Soma ujue ukweli kuwa kampuni hii ina shea na kampuni gani na ndege hii ni toleo jipya kugona ndege ipi.

3. Hayo ni mawazo yako na mabavicha yenzenu yenye njaa kwa kuwa mlizoea kula kwa kubangaiza na kiujanjaujanja. Nchi nyingi tu tayari zimeagiza kutengenezewa ndege hii mpya ikiwamo na sisi tuliopata ndege mbili.

Mwisho.
Akili zenu ni za kipumbavu. Kauli zenu za kupinga na kupotisha kila jema linaloyendwa na serikali kwetu sisi ni changamoto ya kuendelea zaidi. Endeleeni kutusindikiza hivo hivo na porojo zenu. Kumbuka mwaka unaokuja ni wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Tutachukua 98% ya kila kitu n 2020 unajua kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom