Hawa ndio wageni wa CC!

kwa sentensi hii nakupa POINT...ila mkuu kuna baaadhi wako serious..mayb mimi na wewe ndio tunachukulia poa

Inawezekana! Ila kwa thread kama hii.....kama yuko anayekuwa serious basi huyo ni ''desperado'' na anahitaji counseling manake anakoenda ni kubaya. we are having fun here, sidhani kuna lingine! TheDealer unasemaje bwana!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nilimtishia maisha kiwatengu baada ya kupata makovu ya kile kipigo alichonipa wakati nanyemelea ndoa yenu, sasa ikabidi mkewe shansarie aokoe jahazi kwa kunipa tiba! tiba ya aina gani? umbea sitaki!

umeepona unaleta jeuri ee, najua utarudi tu maana Bishanga keshakuambukiza kale kaugonjwa kake
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…