Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hali sasa hivi ni shwari kabisa usiogope, njoo tu bana tena home hakuna mtu. Hahahaa
 
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi

Duh i see pole kamanda taratiibu utazoea
 
Karibu sana, ngoja niite wanajeshi waje watoe hili kombora sitting room ucje kimbia bure.

Usikhofu TF ni mwanajeshi wa jeshi la kunge taifa pale mgulani ana PhD ya kutegua mabomu na kutegua mitego kama hiyo unayomtega.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom