Hawa members wana muda gani hapa JF?

Kuna watu wanashinda kwa wagangas ili post zao zibambe lakini wanaambulia patupu, mfano wao watu hao ni Bujibuji mtani wangu
 
kasomeni mi-thread yake yote tumechangia...leo analalamika uongo,mwanaume gani unapenda attention za lazima kiiivyo? kama tunakukera hama kabisaaa sie tupo sana tu hapa ndo nyumbani.......!!!!
Naamini hauko hvyo pole michelle punguza jazba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…