Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,276

C kweli mbona naudhuria sana jamani?muulize husninyo,au ndo unalipa ubaya kwa ubaya?c vzr
Mamito kwa leo kahawa haipandi kabsaa njo counter ya juu hapa tupige vitu vyetu! Kakudo kantaja leo cjui ana nini na mimi!Usijali my dear....nimeshakusamehe....karibu tupate kahawa kidogo...........:coffee:
C kweli mbona naudhuria sana jamani?muulize husninyo,au ndo unalipa ubaya kwa ubaya?c vzr
Ohhh!!! kumbe upo.....
ushauri tu kwako..hapa MMU tunajifunza lakini pia tunajifruahisha kwa kuwasiliana na marafiki ambao hatujawi hata kuonana!....So take it easy my brother/sister!
Mamito kwa leo kahawa haipandi kabsaa njo counter ya juu hapa tupige vitu vyetu! Kakudo kantaja leo cjui ana nini na mimi!

Pole dena but c kwa ubaya that why nikauliza mna muda gani humu wenze2!
What are u talkin about?? That's exactly what I'm doing...this is not a parliament session...dooooh

Charge imenishia nakutakia ucku mwema tuonane kesho
Mbona sasa ulikuwa mkali.... ukaanza na kuchafua hali ya hewa hapa jamvini!!! Maneno kama yake hayafai ndugu yangu...!!!
Hapana the finest mchango wako naukubal 100% ndo maana nikakukumbuka.pia nyinyi humu mnajulikana ndo maana nikahoj mko humu muda gani?pole bwanakOKUDO thread yako imenifanya nicheke sana banaa l.o.l binafsi sina kinyongo na wewe na thread zako huwa nachangia kama mchango wangu huwa ni mdogo kwenye thread zako nitaongeza juhudi l.o.l
Kawaida mkuu wala usijali tuko pamojaHapana the finest mchango wako naukubal 100% ndo maana nikakukumbuka.pia nyinyi humu mnajulikana ndo maana nikahoj mko humu muda gani?pole bwana
Hapana the finest mchango wako naukubal 100% ndo maana nikakukumbuka.pia nyinyi humu mnajulikana ndo maana nikahoj mko humu muda gani?pole bwana
Kheee kheee Omega Psi Phi

Hapana the finest mchango wako naukubal 100% ndo maana nikakukumbuka.pia nyinyi humu mnajulikana ndo maana nikahoj mko humu muda gani?pole bwana
Namtafuta huyo mtu au unamjua khee kheeWewe nawe bana...utachoka na ku guess
Hehehe mi niwe na hasira na keyboard? Nataka kujua kigezo kipi kimefikia kunitaja?Aaaa jamani ndo unafanya kupost kwa kunijazia page?punguza hasira kimey