Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

Mamito jana there was a technical fault! Me nipo na wewe keren wangu, nsamehe mwana wa mwanamke mwenzio!

Usijali my dear....nimeshakusamehe....karibu tupate kahawa kidogo...........:coffee:
 
Maria Roza anasema,

Kama huendi kwa jirani usitarajie atakuja kwako :wink2::wink2::wink2: jioni njema dia
C kweli mbona naudhuria sana jamani?muulize husninyo,au ndo unalipa ubaya kwa ubaya?c vzr
 
Nimepotelea wapi? Mbona nipo tu..m

Ohhh!!! kumbe upo.....
ushauri tu kwako..hapa MMU tunajifunza lakini pia tunajifruahisha kwa kuwasiliana na marafiki ambao hatujawi hata kuonana!....So take it easy my brother/sister!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom