Hatukumuelewa Mzee wetu, huo ndiyo ukweli!

Hatukumuelewa Mzee wetu, huo ndiyo ukweli!

Utakuwa mpumbavu kudhani kila linalosemwa bungeni ni sahihi 100% pili,
Kumbe! Je kuna aliyekanusha? Nafikiri JF tumeingiliwa na kirusi kinaitwa TrueVoter!
kutaja jina la mtu hakumaanishi tayari ni mkosaji, jinai zina msingi wake,
Je unakataa hakuna viongozi yeyote wa serikali na CCM aliyepokea mgao wa ESCROW?
tatu hatuchagui Rais aanze kukimbizana na wahalifu wote utawala uliopita,
Hii mada inamhusu muasisi mkuu wa uovu nchini ambaye Baba wa Taifa alituasa tusifanye makosa kumpa uongozi lakini kwa ujinga wa CCM wakakaidi.
 
Tulia ww bendera fuata upepo. Yule alikuwa kiongozi muovu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Hutaki jinyonge.
Viongozi wema ndio akina JK na Kinana ndio maana hawafi Mungu kawaacha.
 
Viongozi wema ndio akina JK na Kinana ndio maana hawafi Mungu kawaacha.

Tafuta popote nilipounga mkono ile kauli ya muhuni wa kundi la Msoga gang, ukipapata uje tuendelee na mjadala.
 
Acha kunilisha maneno, kwenye mjadala ule ulibaki na hoja za nguvu, lakini hukuwa na jipya. Kama katiba hii ingewatoa CCM kwanini nidai mpya?
Kipi nilichoongea hapo ambacho si cha kweli? Wewe hoja yako ni ule uchaguzi wa 2020 kuwa ndio Magufuli alivuruga uchaguzi ila wewe mwenyewe unaamini kuwa kwa jinsi idadi ya kura za wapinzani jinsi zilivyokuwa zinaongezeka uchaguzi hadi uchaguzi ni kwamba upo uwezekano wa kuiondoa ccm madarakani.

Sasa hapo nimekulisha maneno gani?
 
Tafuta popote nilipounga mkono ile kauli ya muhuni wa kundi la Msoga gang, ukipapata uje tuendelee na mjadala.
Sizungumzii wewe kuunga mkono kauli yeyote, wewe unasema Mungu kamuondoa kiongozi muovu na mimi ndio nakwambia JK na Kinana Mungu hajawaondowa ila kamuondoa Magufuli hivyo JK na Kinana si waovu ndio maana Mungu hajawaondoa.
 
JOKA litakufa kifo kibaya sana, yaani laana yake itawakumba hadi wajukuu zake...ile mbegu ya JOKA (.JK) ni mbaya sana haifai, ukoo ule ni kama vichwa vyao havina ubongo vina maji tupu
Iteni majina yote ila jk hana tattizo na mtu ni mtu humble sana ,shida iko kwenu ninyi wenye roho mbya na chuki
 
Hasafishiki yule mbwa hata ukimwandika mwaka mzima. Alikuwa mtu mbaya ndiyo maana hajaishi.
Lowassa kasafishwa na Chadema na kasafishika yupo hai hadi leo na sasa si mtu mbaya, JK na Kinana wapo hai hadi leo ni kwa sababu ni watu wema.
 
Lowassa kasafishwa na Chadema na kasafishika yupo hai hadi leo na sasa si mtu mbaya, JK na Kinana wapo hai hadi leo ni kwa sababu ni watu wema.
Habari ndiyo hiyo. Jiwe alikuwa mtu mbaya akawahishwa jehanamu
 
Ni kweli kabisa JK hakuwa rais sahihi, lakini huwezi kuniambia Magufuli alikuwa sahihi pia. Kama ni kuchagua rais mwenye afadhali, na uchaguzi iwe ni kwa watu wawili tu yaani JK Magufuli, bora JK.

jpm katajwa wapi ndugu yangu mbona una mhaho wa hiti???
 
Hao wachache watakao ijua katiba inasema nini ndio watakaokuwa na nguvu ya kuilinda sio lazima watu wote wa Nchi nzima waijue !
Kwahiyo wenye kutaka katiba mpya ni hao wachache tu au hata hawa wasioelewa katiba hii ya sasa?
 
Kumbe! Je kuna aliyekanusha? Nafikiri JF tumeingiliwa na kirusi kinaitwa TrueVoter!

Je unakataa hakuna viongozi yeyote wa serikali na CCM aliyepokea mgao wa ESCROW?

Hii mada inamhusu muasisi mkuu wa uovu nchini ambaye Baba wa Taifa alituasa tusifanye makosa kumpa uongozi lakini kwa ujinga wa CCM wakakaidi.
Kukanusha nini? Haya mambo ya escrow si yalikuwa mahakamani, hicho iliamua mahakama km hakikuwa complete mbona hakukuwa na rufaa..
Unajua nyinyi mna tatizo moja kudhani hizo taarifa kidogo sana juu ya jambo husika pengine hazifiki hata 5% ya jambo lote mnazosikia kupitia media mnachukulia ndio ukweli 100% mnaanza kuimba km kasuku bila kutafuta ukweli zaidi ya mlichosikia..mimi niko hapa kitambo, wakati mwingine ujinga wenu hauvumiliki..
Kaiulize mahakama kwa nini viongozi wa serikali au wanaccm hawakuwemo kwenye kesi ya escrow..
Si kila alichosema Mwl. kina relevance unavyotaka wewe, na huo ndio ujinga mlio nao umedumaza kiwango chenu cha kufikiri zaidi ya unachosikia na kuona..
 
Mwaka 1977 ilipoandikwa katiba hii, wananchi wote walikuwa wameshazielewa zilizopita hapo nyuma?
Tunaambiwa wananchi wanataka katiba mpya kwamba hilo ndio hitaji la watanzania waliyo wengi, maana yake wameona mapungufu ya katiba ya sasa na kuhitaji katiba mpya.
 
Tulia ww bendera fuata upepo. Yule alikuwa kiongozi muovu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Hutaki jinyonge.
Mbona huyo mungu wako hakuondolei ccm?

Ccm bado inakukalia kimabavu na kila siku unalialia humu.
 
Hatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama.

Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa ama kwa kurogwa walishaanza kufall in love na kijana yule haikuwa rahisi mzee kusema hafai moja kwa moja.

Mzee alijua wale ni waswahili na wanaweza kumuunganishia kuwa yeye aliyekataa ukabila ndio mkabila na mbaguzi, hivyo mzee alitumia busara zake kusema kwamba kijana bado bado, akue kidogo ndio atafute hiyo top position.

Mzee aliamini kuwa baada ya miaka 10 ufumbuzi utapatikana wa kumpoteza kijana asiwe top milele maana hafai. Bahati mbaya mzee akaondolewa ama akafariki kabla hata miaka kumi haijaisha, kijana akawa na furaha kwamba kigingi chake kimeng' olewa, akapambana kutimiza lengo lake.

Watu walivyoshindwa kumuelewa Hayati, wakafikiri kuwa alimaanisha go ahead after ten years, wakamsaport kijana wa hovyo hovyo apewe dhamana kuu.

Miaka 10 ya huyo ndio iliyoleta uharibifu mkuu kwenye taifa hili, kuanzia biashara za madawa ya kulevya, ufisadi wa kutisha ngazi za juu, neno mchwa likazaliwa huku chini halmashauri, mikataba ya hovyo, n.k, n.k.

Leo hii balaa zote zinazoendelea nchi hii kwa asilimia 90 zilitengenezwa katika awamu yake, na bado linang'ang'ania kuendeleza mambo yake.

Hakika hilo limekuwa "JOKA" (J.K) katika taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiye JOKA KUU (JK)
 
We unashangaa Hilo ukraine ipo barani ulaya lakin inaongozwa na "chalii chaplini"

Hata hapa Tanzania miaka michache inji hii ilishawahi kuongozwa Chizi Maarifa Tena mwenye faili hospital kuu ya Magonjwa ya akili hapo middle of the state

Sishangai JOKA aka jk kuongoza inji ya majuha na kuvuna kila kilicho muhimu

Pale China mtoto wa joka alikamatwa na unga wa mahindi tani kadhaa kumtoa ilibid vitalu vya madin na wanyama wapewe wao Cha ajabu toto hilohlo kwa Sasa n member msaidiz wa cabinet eti naye think tank of the state

Nanukuu maneno ya marehemu ya Rais was kwanza wa Kenya kwa nyerere 'UNAONGOZA MAITI"

By katibu wa chama Cha mambuzi
JamiiForums-1641080614.jpg


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom