Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,068
- 2,457
Haya yote ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Mtazusha sana safari hii kwa stress zenuNahisi pia alishiriki kumuondoa mwenzetu, ndugu yetu mapema ili wafanikishe uharamia huu. Hawa na waharifu wa kutisha kiwango cha mafia
Hawa hapa wanatajwa tena ndani ya Bunge, je yupi alikamatwa na kuswekwa ndani? Kikwete alikataa kwamba hizo hela ni za serikali akidai ni za IPTL. Hebu sikiliza hii video....
TrueVoter, nakuomba ukumbuke kwamba hii ni JF na kumbukumbu zote utazikuta humu. Achana na kutetea dhana za kipumbavu kama mlivyozoea huko CCM!
Mlaumu kwanza aliyesababisha hayo yaliyofanya uone jiwe anakosea kuyashughulikia..ona upumbavu wako kwanza kabla ya upumbavu wa jiwe.Kwahiyo unaunga mkono upumbavu huu alioufanya ibilisi jiwe?
Hasafishiki yule mbwa hata ukimwandika mwaka mzima. Alikuwa mtu mbaya ndiyo maana hajaishi.Mlaumu kwanza aliyesababisha hayo yaliyofanya uone jiwe anakosea kuyashughulikia..ona upumbavu wako kwanza kabla ya upumbavu wa jiwe.
Mpumbavu wewe huna lolote, wewe una jipya gani..umejaza kichwani lawama zisizo na mbele wala nyuma..muovu muovu, unajua uovu wewe...una akili fupi itumie kufikiri kulisha tumbo lako, mengine huyawezi..Acha!
Wewe huna uwezo ku-rule out usafi wa mtu yeyote, that s not your case..usisumbue akili yako kuwaza yasiyokuhusu, mwachie anayejua ya moyoni mwa kila binadamu yeyote..unapoteza muda kumuongelea mtu alimaliza part yake, jiulize wewe mwisho wako utakuwaje..!Hasafishiki yule mbwa hata ukimwandika mwaka mzima. Alikuwa mtu mbaya ndiyo maana hajaishi.
Nauliza watanzania hawa hawa ambao hata katiba ya sasa hawaijui hivi kweli ndio wanataka katiba mpya?Watanzania wanaoitazama nchi yao kwa miaka 20, 30, na 50 ijayo. Sio watanzania wanaotazama urefu wa pua au mkono wao tu.
Wewe nae ni mpumbavu tu, ni mvuruga thread za watu kisa unakinyongo na huyo bwana ako magufuli....mada inaongelea waswahili, ww unaleta mambo ya kichoko hapa, hujieshimu mbwa weweRugemalila na Kalasinga Seth waliwekwa ndani kwa tuhuma ya fedha za Escrow, nitajie watu wa CCM/serekali walioshirikiana nao kwenye hiyo kashfa waliowekwa nao ndani.
Baada ya kutoka ripoti ya kina profesa Ossoro kuhusu mikataba ya madini, Andrew Chenge, Nadhiri Karamagi, Daniel Yona walitajwa kwa majina, na ripoti ikataka wakamatwe. Na Magufuli akaagiza wakamatwe, mbona hakuna hata mmoja alikamatwa au kusumbuliwa?
Magufuli aliamua kuwekeza kwenye miradi wa maji baada ya kusema kubwa gas sio yetu maana imeuzwa. Mbona hakuwachukulia hatua waliouza hiyo gas yetu. Njoo na majibu haraka ili usiendelee kunipotezea muda kwa kutetea kiongozi muovu.
Hii tabia ya kutegemea nguvu au ushawishi wa mtu au watu fulani fulani katika Nchi itaendelea mpaka lini ? Eti nguvu ya ki JK mara nguvu ya ki JPM !! Haya sasa hapo mmoja hatunaye na huyo aliyepo naye ni binadamu tu kama sisi tunaoondoka kila siku ! Naye akiondoka Nchi inabaki na nani ??! We need strong institutions not strong Men !! Alisemaga Rais Obama " Africa needs strong institutions not strong Men !J.k alijua kula na vipofu kwa kuwawekea nyama nyingi watu wanaridhika na mate ya nyama yeye anashiba ubwabwa na nyama kiasi kwa vile alikuwa na dhamana kuu. Jpm wananchi tulifanywa tujifunzw kujitegemea kwa nguvu zetu ili tuishi, Ila hii ya sasa haieleweki maana ina vimelea vyote ni ya Jk. Ila inataka kuishi ki Jpm lkn wakati huo huo nguvu ya ki Jk ni kubwa kuliko ya ki Jpm....
Mshukuru shetani aliyejaza kichwa chako chuki zisizo na faida kwako, Mungu hatendi hivyo unavyodhani, mtu yeyote anakufa muda ukifika..hata TB Joshua alikufa muda wake ulipotimia pamoja na mazuri yote aliyofanya..ni kichaa tu anaweza fikiri kufa kwa mtu ni sabab ya mabaya aliyotenda.Tulia ww bendera fuata upepo. Yule alikuwa kiongozi muovu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Hutaki jinyonge.
Hao wachache watakao ijua katiba inasema nini ndio watakaokuwa na nguvu ya kuilinda sio lazima watu wote wa Nchi nzima waijue !Nauliza watanzania hawa hawa ambao hata katiba ya sasa hawaijui hivi kweli ndio wanataka katiba mpya?
Hilo lilikuwa ni kosa kubwa sana ! Hata sisi watetezi wa legacy tunajua hivyo !!Porojo za kisiasa kwa wizi tulioona kwa macho yetu? Au unadhani tumelala sana kiasi hatujui lolote. Mlipora uchaguzi kishamba sana kwa ukhanithi wa kutaka kumfurahisha mtu.
Biashara haramu ndio hao wengi walioisoma namba kipindi kile ! Sasa wanatanua !!Tatizo lao hawasemi ukweli wabaki kusema mara sijui watu kutekwa mara Lissu ila sababu za chuki hawasemi. Nina rafiki yangu aliwahi kuniambia Magu aliharibu mipango yangu sana ila sasa nilipomuuliza kwani ilikuaje? Anakanirusha tu ah we acha kakwepa kueleza, sasa watu kama hao ndio unakuta wamejawa na makasiriko kwa Magu wameshikilia mara Lissu mara sijui alikuwa mtekaji kumbe analo asiloweza kusema.
Wewe nae ni mpumbavu tu, ni mvuruga thread za watu kisa unakinyongo na huyo bwana ako magufuli....mada inaongelea waswahili, ww unaleta mambo ya kichoko hapa, hujieshimu mbwa wewe
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mwenzako Tindo anaamini kwa tume hii hii inawezekana kumtoa ccm madarakani kwa sanduku la kura, anasema kura za urais kwa upinzani zimekuwa zikiongezeka kila uchaguzi kwahiyo upo uwezakano wa kupata kura nyingi za kufanya upinzani kuingia ikulu. Anadai kwa trend ilivyokuwa ni kwamba ile 2020 upinzani ungeingia ikulu kwa kura nyingi kama si Magufuli kuiba uchaguzi.Kwa tume ipi ya uchaguzi??
Enzi za Nyerere alishushwa mpaka akawa Katibu wa CCM Wilaya. Mwinyi ndiye alimyemuibua kutoka Masasi mpaka Waziri. That's a big jump. Imagine 1990 Katibu wa Wilaya, 1995 Mgombea Urais. No wonder akina Kigwangalla wana ndoto pia. Hiyo 2930 CCM itakuwa na wagombea zaidi ya 100 including wafuatao: Msukuma, Makamba, Gwajima, Jaffo ....!!Nyerere alikuwaje sijui. Kama alishaiona hiyo shida ilibidi ampoteze kisiasa tangu zamani kabla hata hakuota mizizi
Nauliza watanzania hawa hawa ambao hata katiba ya sasa hawaijui hivi kweli ndio wanataka katiba mpya?
Mwenzako Tindo anaamini kwa tume hii hii inawezekana kumtoa ccm madarakani kwa sanduku la kura, anasema kura za urais kwa upinzani zimekuwa zikiongezeka kila uchaguzi kwahiyo upo uwezakano wa kupata kura nyingi za kufanya upinzani kuingia ikulu. Anadai kwa trend ilivyokuwa ni kwamba ile 2020 upinzani ungeingia ikulu kwa kura nyingi kama si Magufuli kuiba uchaguzi.