We unashangaa Hilo ukraine ipo barani ulaya lakin inaongozwa na "chalii chaplini"
Hata hapa Tanzania miaka michache inji hii ilishawahi kuongozwa
Chizi Maarifa Tena mwenye faili hospital kuu ya Magonjwa ya akili hapo middle of the state
Sishangai JOKA aka jk kuongoza inji ya majuha na kuvuna kila kilicho muhimu
Pale China mtoto wa joka alikamatwa na unga wa mahindi tani kadhaa kumtoa ilibid vitalu vya madin na wanyama wapewe wao Cha ajabu toto hilohlo kwa Sasa n member msaidiz wa cabinet eti naye think tank of the state
Nanukuu maneno ya marehemu ya Rais was kwanza wa Kenya kwa nyerere 'UNAONGOZA MAITI"
By katibu wa chama Cha mambuzi
View attachment 2443684
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app