Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 788
- 1,015
- Thread starter
- #21
[emoji1][emoji1][emoji1]Tumeambiwa huyu ni mtu mzuri sana asiyetakiwa kufa, nini kimetokea tena.......
Tabasamu la mamba,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1]Tumeambiwa huyu ni mtu mzuri sana asiyetakiwa kufa, nini kimetokea tena.......
Kiukweli tuko nyuma sana na tumeridhika na maisha haya ya ujamaa ambao hauna msingi zaidi yakutugawaHatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama.
Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa ama kwa kurogwa walishaanza kufall in love na kijana yule haikuwa rahisi mzee kusema hafai moja kwa moja.
Mzee alijua wale ni waswahili na wanaweza kumuunganishia kuwa yeye aliyekataa ukabila ndio mkabila na mbaguzi, hivyo mzee alitumia busara zake kusema kwamba kijana bado bado, akue kidogo ndio atafute hiyo top position.
Mzee aliamini kuwa baada ya miaka 10 ufumbuzi utapatikana wa kumpoteza kijana asiwe top milele maana hafai. Bahati mbaya mzee akaondolewa ama akafariki kabla hata miaka kumi haijaisha, kijana akawa na furaha kwamba kigingi chake kimeng' olewa, akapambana kutimiza lengo lake.
Watu walivyoshindwa kumuelewa Hayati, wakafikiri kuwa alimaanisha go ahead after ten years, wakamsaport kijana wa hovyo hovyo apewe dhamana kuu.
Miaka 10 ya huyo ndio iliyoleta uharibifu mkuu kwenye taifa hili, kuanzia biashara za madawa ya kulevya, ufisadi wa kutisha ngazi za juu, neno mchwa likazaliwa huku chini halmashauri, mikataba ya hovyo, n.k, n.k.
Leo hii balaa zote zinazoendelea nchi hii kwa asilimia 90 zilitengenezwa katika awamu yake, na bado linang'ang'ania kuendeleza mambo yake.
Hakika hilo limekuwa "JOKA" (J.K) katika taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu walikuwa na mapenzi sana, ni kama vile ilimuwia ngumu kueleweka,
Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid nonsense!Stupid Nonsense
Halafu jamaa likawa Vaaco Dagama tu, kati ya siku 365 siku 270 linatembea abroad !
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unaanisha lisu alipata Kura nyingi kuliko magufuli?kapimwe akili pia alikuwa anawateka watu wa ovyo ovyo wasiokuwa na malengo mazuri na nchi yetu kama ndugu yako lisu.Bora kuliko lile jizi la kura na kuendesha kundi la watekaji.
Yaani unaanisha lisu alipata Kura nyingi kuliko magufuli?kapimwe akili pia alikuwa anawateka watu wa ovyo ovyo wasiokuwa na malengo mazuri na nchi yetu kama ndugu yako lisu.
Hivi wewe huwa unatumia akili kweli, umejikata mwenyewe mguu kwa uzembe wako halafu ukaacha jeraha likawa kidonda siku umekwenda hospital kutibiwa Muuguzi anaosha kidonda chako kinachotoa harufu kiwe safi upone wewe unamchukia..utakuwa huna akili, Magufuli mnamchukia wakati aliyemtangulia aliharibu! Nchi ilikuwa shimoni imeshaanza kuoza, ulitaka afanye nini? Utaitoa nchi huko ilikokuwa bila kuumiza watu? Hata malaika asingeweza kufanya hivyo!Ni kweli kabisa JK hakuwa rais sahihi, lakini huwezi kuniambia Magufuli alikuwa sahihi pia. Kama ni kuchagua rais mwenye afadhali, na uchaguzi iwe ni kwa watu wawili tu yaani JK Magufuli, bora JK.
Hivi wewe huwa unatumia akili kweli, umejikata mwenyewe mguu kwa uzembe wako halafu ukaacha jeraha likawa kidonda siku umekwenda hospital kutibiwa Muuguzi anaosha kidonda chako kinachotoa harufu kiwe safi upone wewe unamchukia..utakuwa huna akili, Magufuli mnamchukia wakati aliyemtangulia aliharibu! Nchi ilikuwa shimoni imeshaanza kuoza, ulitaka afanye nini? Utaitoa nchi huko ilikokuwa bila kuumiza watu? Hata malaika asingeweza kufanya hivyo!
Mambo ya kuteka watu utakuwa mjinga kama hujui nani wanafanya utekaji..mna matatizo ya akili mliolelewa kimama mama, kazi kutoa lawama hata zisizo na msingi, kaza m.apu.mbu hayo km kweli wewe mwanaume ukikutana na mwanaume mwenzio! Pambana..Kama una hakika alimshinda Lisu, kwanini hakutaka kura zake halali za ushindi zitangazwe? Bora wewe umekiri kuwa alikuwa anateka watu, ila ni kwa hisia zake hasa kwa watu waliokuwa hawamsujudii. Wenzako wanasema yeye hakuwa mtekaji.
Nani ambae hakuguswa ccm, wangefanya karamu na kufarijiana na maneno km aliyosema juzi yule mzee wa kuropoka kama hawakuguswa?? Labda kama wengine hatuwajui uwaseme..Nchi ilikuwa imeisha na sheria za kufuata zilikuwepo, kwanini hakuzifuata? Mbona katika hiyo vita yake hakuwagusa wahusika halisi wa huo uchafu ambao ni Makada wenzake wa CCM? Unaumiza ambao hawajasababisha tatizo, unawacha wahusika kwa lugha nyepesi ya kutofikia makabati! Hiyo akili yako ww kama hujui hilo basi ni akili ya kufikia barabara.
Idiot!.Stupid Nonsense
[emoji706][emoji706]Ni kweli kabisa JK hakuwa rais sahihi, lakini huwezi kuniambia Magufuli alikuwa sahihi pia. Kama ni kuchagua rais mwenye afadhali, na uchaguzi iwe ni kwa watu wawili tu yaani JK Magufuli, bora JK.
Sheria gani unaongelea? Sheria inajitekeleza yenyewe? Hata uwe na sheria nzr kiasi gani kama watekelezaji ni corrupt kama ilivyokuwa hizo sheria unazosema ni sawa na sifuri..sheria zinazolinda wahalifu ndio ulitaka ziendelee kufuatwa..acheni kushikilia hoja dhaifu kwa ubinafsi wenu..tuwe wakweli!Nchi ilikuwa imeisha na sheria za kufuata zilikuwepo, kwanini hakuzifuata? Mbona katika hiyo vita yake hakuwagusa wahusika halisi wa huo uchafu ambao ni Makada wenzake wa CCM? Unaumiza ambao hawajasababisha tatizo, unawacha wahusika kwa lugha nyepesi ya kutofikia makabati! Hiyo akili yako ww kama hujui hilo basi ni akili ya kufikia barabara.
Chademaa nawasii katu msidharau jkHatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama.
Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa ama kwa kurogwa walishaanza kufall in love na kijana yule haikuwa rahisi mzee kusema hafai moja kwa moja.
Mzee alijua wale ni waswahili na wanaweza kumuunganishia kuwa yeye aliyekataa ukabila ndio mkabila na mbaguzi, hivyo mzee alitumia busara zake kusema kwamba kijana bado bado, akue kidogo ndio atafute hiyo top position.
Mzee aliamini kuwa baada ya miaka 10 ufumbuzi utapatikana wa kumpoteza kijana asiwe top milele maana hafai. Bahati mbaya mzee akaondolewa ama akafariki kabla hata miaka kumi haijaisha, kijana akawa na furaha kwamba kigingi chake kimeng' olewa, akapambana kutimiza lengo lake.
Watu walivyoshindwa kumuelewa Hayati, wakafikiri kuwa alimaanisha go ahead after ten years, wakamsaport kijana wa hovyo hovyo apewe dhamana kuu.
Miaka 10 ya huyo ndio iliyoleta uharibifu mkuu kwenye taifa hili, kuanzia biashara za madawa ya kulevya, ufisadi wa kutisha ngazi za juu, neno mchwa likazaliwa huku chini halmashauri, mikataba ya hovyo, n.k, n.k.
Leo hii balaa zote zinazoendelea nchi hii kwa asilimia 90 zilitengenezwa katika awamu yake, na bado linang'ang'ania kuendeleza mambo yake.
Hakika hilo limekuwa "JOKA" (J.K) katika taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kura za halali zilitangazwa na magufuli alishinda.mtu ambaye anayefikiri lisu alishinda apimwe Akili.magufuli alikuwa against goons kina lisu.Kama una hakika alimshinda Lisu, kwanini hakutaka kura zake halali za ushindi zitangazwe? Bora wewe umekiri kuwa alikuwa anateka watu, ila ni kwa hisia zake hasa kwa watu waliokuwa hawamsujudii. Wenzako wanasema yeye hakuwa mtekaji.
Chukichukichukichukichukichuki ni ugonjwa mbaya Sana.Hatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama.