Hatukumuelewa Mzee wetu, huo ndiyo ukweli!

Hatukumuelewa Mzee wetu, huo ndiyo ukweli!

Kura za halali zilitangazwa na magufuli alishinda.mtu ambaye anayefikiri lisu alishinda apimwe Akili.magufuli alikuwa against goons kina lisu.
we nawe. nilini mtakuwa objecive? ukitetea uovu nawe ni mwovu
 
we nawe. nilini mtakuwa objecive? ukitetea uovu nawe ni mwovu
Wewe ni Kati ya watu mnaofikiri lisu alishinda?lisu alikuwa anawatumikia adui wa nchi yetu wa ndani na nje ya nchi ili kumfanya magufuli asitawale Kwa Amani.jiulize mbona Sasa hivi yupo kimya?hakuna maovu tena?
 
Nchi ilikuwa imeisha na sheria za kufuata zilikuwepo, kwanini hakuzifuata? Mbona katika hiyo vita yake hakuwagusa wahusika halisi wa huo uchafu ambao ni Makada wenzake wa CCM? Unaumiza ambao hawajasababisha tatizo, unawacha wahusika kwa lugha nyepesi ya kutofikia makabati! Hiyo akili yako ww kama hujui hilo basi ni akili ya kufikia barabara.
Na hapo ndipo yule jamaa alipokosea na watu wenye akili wakashindwa kumuelewa !! Au alikuwa amepanga kula nao sahani moja katika muhula wake wa pili. ?? Nobody knows. !!
 
Hatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama.

Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa ama kwa kurogwa walishaanza kufall in love na kijana yule haikuwa rahisi mzee kusema hafai moja kwa moja.

Mzee alijua wale ni waswahili na wanaweza kumuunganishia kuwa yeye aliyekataa ukabila ndio mkabila na mbaguzi, hivyo mzee alitumia busara zake kusema kwamba kijana bado bado, akue kidogo ndio atafute hiyo top position.

Mzee aliamini kuwa baada ya miaka 10 ufumbuzi utapatikana wa kumpoteza kijana asiwe top milele maana hafai. Bahati mbaya mzee akaondolewa ama akafariki kabla hata miaka kumi haijaisha, kijana akawa na furaha kwamba kigingi chake kimeng' olewa, akapambana kutimiza lengo lake.

Watu walivyoshindwa kumuelewa Hayati, wakafikiri kuwa alimaanisha go ahead after ten years, wakamsaport kijana wa hovyo hovyo apewe dhamana kuu.

Miaka 10 ya huyo ndio iliyoleta uharibifu mkuu kwenye taifa hili, kuanzia biashara za madawa ya kulevya, ufisadi wa kutisha ngazi za juu, neno mchwa likazaliwa huku chini halmashauri, mikataba ya hovyo, n.k, n.k.

Leo hii balaa zote zinazoendelea nchi hii kwa asilimia 90 zilitengenezwa katika awamu yake, na bado linang'ang'ania kuendeleza mambo yake.

Hakika hilo limekuwa "JOKA" (J.K) katika taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee karudi tena, wnajipanga kukamata chama na dola. Badala ya kushangilia wenye uwezo na mapenzi na nchi tupambaneni kumzuia huyo mzee na vijana wake.

Mama peke yake hawezi washaanza kumtisha hadharani, tumzuie mzee ni vijana wake nchi hii ataimaliza, mzee atosheki huyo.
 
Duh !!
 
J.k alijua kula na vipofu kwa kuwawekea nyama nyingi watu wanaridhika na mate ya nyama yeye anashiba ubwabwa na nyama kiasi kwa vile alikuwa na dhamana kuu. Jpm wananchi tulifanywa tujifunzw kujitegemea kwa nguvu zetu ili tuishi, Ila hii ya sasa haieleweki maana ina vimelea vyote ni ya Jk. Ila inataka kuishi ki Jpm lkn wakati huo huo nguvu ya ki Jk ni kubwa kuliko ya ki Jpm....
 
Ni kweli kabisa JK hakuwa rais sahihi, lakini huwezi kuniambia Magufuli alikuwa sahihi pia. Kama ni kuchagua rais mwenye afadhali, na uchaguzi iwe ni kwa watu wawili tu yaani JK Magufuli, bora JK.
Uthuthi
 
Kama una hakika alimshinda Lisu, kwanini hakutaka kura zake halali za ushindi zitangazwe? Bora wewe umekiri kuwa alikuwa anateka watu, ila ni kwa hisia zake hasa kwa watu waliokuwa hawamsujudii. Wenzako wanasema yeye hakuwa mtekaji.
Huwezi kuwa na akili !! Kwa taarifa yako pale chadema hata angesimamishwa na Nan hakuna ambaye angetoboa mbele ya magufuli.

Hata leo ukiweka picha marehemu na mgombea wa chadema ni hakika 90% marehemu anashinda..pale chadema hamna raisi ni kikundi cha ukanda kile.
 
Mambo ya kuteka watu utakuwa mjinga kama hujui nani wanafanya utekaji..mna matatizo ya akili mliolelewa kimama mama, kazi kutoa lawama hata zisizo na msingi, kaza m.apu.mbu hayo km kweli wewe mwanaume ukikutana na mwanaume mwenzio! Pambana..

Usingepanick ningeshangaa sana.
 
Hatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama.

Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa ama kwa kurogwa walishaanza kufall in love na kijana yule haikuwa rahisi mzee kusema hafai moja kwa moja.

Mzee alijua wale ni waswahili na wanaweza kumuunganishia kuwa yeye aliyekataa ukabila ndio mkabila na mbaguzi, hivyo mzee alitumia busara zake kusema kwamba kijana bado bado, akue kidogo ndio atafute hiyo top position.

Mzee aliamini kuwa baada ya miaka 10 ufumbuzi utapatikana wa kumpoteza kijana asiwe top milele maana hafai. Bahati mbaya mzee akaondolewa ama akafariki kabla hata miaka kumi haijaisha, kijana akawa na furaha kwamba kigingi chake kimeng' olewa, akapambana kutimiza lengo lake.

Watu walivyoshindwa kumuelewa Hayati, wakafikiri kuwa alimaanisha go ahead after ten years, wakamsaport kijana wa hovyo hovyo apewe dhamana kuu.

Miaka 10 ya huyo ndio iliyoleta uharibifu mkuu kwenye taifa hili, kuanzia biashara za madawa ya kulevya, ufisadi wa kutisha ngazi za juu, neno mchwa likazaliwa huku chini halmashauri, mikataba ya hovyo, n.k, n.k.

Leo hii balaa zote zinazoendelea nchi hii kwa asilimia 90 zilitengenezwa katika awamu yake, na bado linang'ang'ania kuendeleza mambo yake.

Hakika hilo limekuwa "JOKA" (J.K) katika taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua wapi kusema siku zote hizo kama yeye hujiamini haswa.
 
Nani ambae hakuguswa ccm, wangefanya karamu na kufarijiana na maneno km aliyosema juzi yule mzee wa kuropoka kama hawakuguswa?? Labda kama wengine hatuwajui uwaseme..

Nani alipelekwa mahakamani, yeye aliwagusa kwa kuwadukua, na aliishia kusema wanamsema! Ifahamike kudukua mawasiliano ni kinyume cha sheria. Tulitaka hatua za kuwafikisha mahakamani tuone wakipelekwa jela.
 
JOKA litakufa kifo kibaya sana, yaani laana yake itawakumba hadi wajukuu zake...ile mbegu ya JOKA (.JK) ni mbaya sana haifai, ukoo ule ni kama vichwa vyao havina ubongo vina maji tupu
 
Sheria gani unaongelea? Sheria inajitekeleza yenyewe? Hata uwe na sheria nzr kiasi gani kama watekelezaji ni corrupt kama ilivyokuwa hizo sheria unazosema ni sawa na sifuri..sheria zinazolinda wahalifu ndio ulitaka ziendelee kufuatwa..acheni kushikilia hoja dhaifu kwa ubinafsi wenu..tuwe wakweli!

Kama aliona hizo sheria hazina nguvu, kwanini alikataa katiba mpya ambayo ilikuwa inaweka uwajibikaji kwa kila mtu? Kwahiyo kuteka watu ndio ilikuwa mbadala wa sheria zilizopo?
 
Kura za halali zilitangazwa na magufuli alishinda.mtu ambaye anayefikiri lisu alishinda apimwe Akili.magufuli alikuwa against goons kina lisu.

Kura halali zinasimamiwa na usalama wa taifa?
Huwezi kuwa na akili !! Kwa taarifa yako pale chadema hata angesimamishwa na Nan hakuna ambaye angetoboa mbele ya magufuli.

Hata leo ukiweka picha marehemu na mgombea wa chadema ni hakika 90% marehemu anashinda..pale chadema hamna raisi ni kikundi cha ukanda kile.
Hakuna mwenye tatizo na ushindi wa Magufuli, tulitaka kura halali zitangazwe. Sio hisia zako ndio zibebe mshindi. Kama angekuwa na uhakika wa kupata hata 50% ya uchaguzi asingepora uchaguzi.
 
Kura halali zinasimamiwa na usalama wa taifa?

Hakuna mwenye tatizo na ushindi wa Magufuli, tulitaka kura halali zitangazwe. Sio hisia zako ndio zibebe mshindi. Kama angekuwa na uhakika wa kupata hata 50% ya uchaguzi asingepora uchaguzi.
Hizo ni porojo tu za kisiasa kiundani hamna ukweli
 
Back
Top Bottom