Hatukumuelewa Mzee wetu, huo ndiyo ukweli!

Hatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama.

Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa ama kwa kurogwa walishaanza kufall in love na kijana yule haikuwa rahisi mzee kusema hafai moja kwa moja.

Mzee alijua wale ni waswahili na wanaweza kumuunganishia kuwa yeye aliyekataa ukabila ndio mkabila na mbaguzi, hivyo mzee alitumia busara zake kusema kwamba kijana bado bado, akue kidogo ndio atafute hiyo top position.

Mzee aliamini kuwa baada ya miaka 10 ufumbuzi utapatikana wa kumpoteza kijana asiwe top milele maana hafai. Bahati mbaya mzee akaondolewa ama akafariki kabla hata miaka kumi haijaisha, kijana akawa na furaha kwamba kigingi chake kimeng' olewa, akapambana kutimiza lengo lake.

Watu walivyoshindwa kumuelewa Hayati, wakafikiri kuwa alimaanisha go ahead after ten years, wakamsaport kijana wa hovyo hovyo apewe dhamana kuu.

Miaka 10 ya huyo ndio iliyoleta uharibifu mkuu kwenye taifa hili, kuanzia biashara za madawa ya kulevya, ufisadi wa kutisha ngazi za juu, neno mchwa likazaliwa huku chini halmashauri, mikataba ya hovyo, n.k, n.k.

Leo hii balaa zote zinazoendelea nchi hii kwa asilimia 90 zilitengenezwa katika awamu yake, na bado linang'ang'ania kuendeleza mambo yake.

Hakika hilo limekuwa "JOKA" (J.K) katika taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea usichokijua. Ni wakati wa jk ndo ajira zilishamili. Hakuna mwalimu au daktari aliyemaliza kipindi Cha jk aliyetaka kuajiriwa serikalini akakosa ajira. Tena kipindi Cha jk ilikuwa siyo kuomba Bali unachaguliwa moja kwa moja ukiwa chuo. Jpm ndo alikuwa kuvuruga huo utaratibu mzuri na matatizo ya ajira yakaanzia hapo na mbaya zaidi akaivuruga private sector ikafa kabisa. Machinga wakaanza kuzalishwa nchi ikawa vururu vururu sasa hivi ndo private sector onarudi kuwa strong chini ya Samia. Kuongoza nchi ni akili siyo maguvu
 
Ungekuwa una akili ungejibu hoja ,

Lakini kila mtu anaelewa wewe ni sawa na mbwa koko tu,

Yaani unataka watu humu wachukue neno lako la kukashifu bila hoja yoyote, eleza kwann unatoa kashfa hiyo,
Vinginevyo wewe ni mbwa koko tu !

Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia Tena wewew ni mpumbavu na labda umezaliwa hivi karibuni. Jk ndo aliyeitoa nchi shimoni akaileta juu kwa kuimarisha private sector jpm akaja kuua tena private sector vijana wakaanza kussuffer na kujinyonga kukaongezeka kwa frustrations za ajira kuyeyuka bila mbadala wowote
 
Mambo ya kuteka watu utakuwa mjinga kama hujui nani wanafanya utekaji..mna matatizo ya akili mliolelewa kimama mama, kazi kutoa lawama hata zisizo na msingi, kaza m.apu.mbu hayo km kweli wewe mwanaume ukikutana na mwanaume mwenzio! Pambana..
Hawa ndo Wafuasi wa JPM..

Yaani mtu akimkosoa JPM watakuambia una chuki, na wengine watakusindikiza hadi na matusi!!

Hamwezi kujenga hoja nje ya chuki na most importantly, hamna hata FACTS.

OKAY, be prepared kusema kwamba nina chuki na ikibidi leta matusi but below are FACTS

1. UFISADI....

Kila mmoja anafahamu kwamba ufisadi nchi hii unafanywa sana na Top Government Officials (ministers, secretaries, directors) and High Profile Politicians.

Hadi JPM anatangulia mbele za haki, hakumgusa yeyote kutoka kwenye makundi hayo mawili, na kama yupo, NITAJIE

TAJA, manake ni kiroja kudai mtu alikuwa anapambana na ufisadi wakati Hao Architects wa Ufisadi wenyewe hakuwahi kuwagusa!

Hata Rostam ambae aliimbwa sana kwamba ni fisadi ni wakati wa JPM ndio alikuja tena kuibuka na Taifa Gas yake ambayo ilizinduliwa na "Mpiga Vita Ufisadi"

2. MIUNDOMBINU

Wafuasi wa JPM mnataka kuaminisha watu kwamba miundombinu ya nchi kama si Magufuli basi isingekuwepo!

-Wakati mnadanganya watu maelezo kama hayo, wafuatiliaji wanafahamu kwamba Flyovers ambazo mmekuwa mkitolea mfano zipo chini ya Mradi wa BRT ambao Mwasisi wake sio JPM

-Barabara za Dar es salaam zipo chini ya Mradi wa Dar es salaam Metropolitan Dev Project ambao JPM alikuta hadi funding imeshakuwa approved.

-Mchakato wa Tanzanite Bridge ulianza kabla hajawa Rais

-Barabara na madaraja mengi yamejengwa kabla JPM hajawa Rais

- Of course, tutampa Credit zake SGR, Ndege, Busisi, na Bwawa la Nyerere lakini hadi sasa Umeme unaotumika Tanzania JPM kaukuta!

3. UCHUMI...

Mwaka 2017 hatimae Benki ya Dunia ikatutangazia kwamba Tanzania imeingia Uchumi wa Kati (wa chini).

Tukaambiwa Marais WOTE waliotangulia walishindwa kuifikisha Tanzania Uchumi wa Kati lakini JPM aliweza within 2 years.

Ajabu ilikuwa ukiangalia Takwimu za hao hao Benki ya Dunia ambazo zilipanga hizo GNI by Atlas Method, wakaja na hizi data...
GNI.png

Kupitia data hizo hapo juu, hiyo mishale MITANO kutokea KUSHOTO inawakilisha mwaka 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, na 2020, pamoja na Viwango vyake vya GNI.

Na ukisoma Data, utaona mwaka 1995, GNI ilikuwa USD 170 na mwaka 2000 GNI ilikuwa USD 410.

Kwa maana nyingine, katika miaka 5 yake ya kwanza, Mzee Mkapa aliweza kupandisha GNI from USD 170 to USD 410; yaani kwa alipandisha kwa USD 240.

Aidha, data hizo zinaonesha mwaka 2005 GNI ilikuwa USD 500 na mwaka 2010 GNI ilikuwa USD 720.

Kwa maana nyingine, Mzee wa Msoga aliweza kupandisha GNI kutoka USD 500 ambayo aliikuta hadi USD 720... yaani kwa USD 220.

Hali kadhalika, takwimu hizo zinaonesha mwaka 2015 GNI ilikuwa USD 980 na mwaka 2020 ilikuwa 1080.

Kwa maana nyingine, JPM aliipandisha GNI kutoka USD 980 aliyokuwa ameikuta hadi USD 1080, yaani aliipandisha kwa USD 100.

Kwa maana nyingine, wakati katika miaka yake mitano ya kwanza Mkapa alipandisha GNI kwa 240, na JK kwa USD 220, na JPM kwa USD 100 lakini leo hii mnataka kutuambia "JPM was Tanzanian Knight!!

Takwimu zinaonesha kinyume chake, na ndo maana mnakuwa wakali kama pilipili mkiambiwa ukweli!! Hamna hoja ya maana mtakayotoa zaidi ya "UNA CHUKI NA JPM" na wengine hoja hiyo itafuatia na mitusi juu!!

JADILINI HOJA....
 
Kwahiyo wenye kutaka katiba mpya ni hao wachache tu au hata hawa wasioelewa katiba hii ya sasa?
Maana ya katiba ni Sheria Mama ya masuala yote yanayoihusu nchi na watu wake !! Kama ni mbaya itawagusa wote wanaoijua na wasioijua ! Na kama ni nzuri itawagusa wote wenye kuijua na wasioijua. !! Hata huko marekani na ulaya sio watu wote wenye kuzijua katiba zao !!
 
View attachment 2443850

Nakubaliana na paragraph yako ya kwanza “Ufisadi “ na hiyo ndio anayoweza kuwa anaijutia mpaka sasa kama angekuwepo !!
 
Unaongea usichokijua. Ni wakati wa jk ndo ajira zilishamili. Hakuna mwalimu au daktari aliyemaliza kipindi Cha jk aliyetaka kuajiriwa serikalini akakosa ajira. Tena kipindi Cha jk ilikuwa siyo kuomba Bali unachaguliwa moja kwa moja ukiwa chuo. Jpm ndo alikuwa kuvuruga huo utaratibu mzuri na matatizo ya ajira yakaanzia hapo na mbaya zaidi akaivuruga private sector ikafa kabisa. Machinga wakaanza kuzalishwa nchi ikawa vururu vururu sasa hivi ndo private sector onarudi kuwa strong chini ya Samia. Kuongoza nchi ni akili siyo maguvu
Alifungua ajira halafu ikifika mwisho wa mwezi mara nyingine mshahara unachelewa pesa hakuna , wanasubiri mpaka mikopo iingie,
Wewe ndio hujui kitu sisi tulikuwepohumo kwenye system, tunajua yote hayo.
Magu alikataa kujikomba komba ikabidi awe realistic ndio maana akataka hadi wafanyakazi hewa awaondoe ili serikali iweze kulipa mishahara bila kujikomba kwa wakina bakhresa na matajiri wengine ili wakope deni la ndani.
Halafu hao walimu unajua waliyokuwa wanayafanya shuleni, walimu wa masomo ya arts walijaa mpaka wakaea wanagawana topic mbili mbili, yaani hawana kazi, ni uchumi gani huo wa kuajiri tu watu Wakachat na facebook mida ya kazi,
Kajielimishe tena, usisifie tu upuuzi, l

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia Tena wewew ni mpumbavu na labda umezaliwa hivi karibuni. Jk ndo aliyeitoa nchi shimoni akaileta juu kwa kuimarisha private sector jpm akaja kuua tena private sector vijana wakaanza kussuffer na kujinyonga kukaongezeka kwa frustrations za ajira kuyeyuka bila mbadala wowote

Nakueleza habari za kikao cha ndani cha ccm wakati mzee bado yupo halafu unasema nimezaliwa karibuni?
Private sector gani aliyoimarisha ? Hiyo ya watu kuwekeza bila kulipa kodi ? Muwekezaji anapewa revenue grace period miaka mitano ? Uliwahi kuona wapi mbwa wewe ? Halafu ikifika miaka minne, anabadiri jina la usajori , kampuni eti imeuzwa, grace period inaongezwa tena, nyuma ya michezo hiyo ndio walikuwepo jamaa wa tra n.k wakajenga majumba kama yote hapa mjini,
Kampuni za kuexplore madini huko porini zinapewa grace period eti bado wanafanya assesment ya miamba ina madini kiasi gani, miaka mitano[emoji45]
Miaka mitano unachunguza tu miamba ?! Kumbe wanakula na vigogo , badala hiyo revenue ya madini iende serikalini wanakula kundi lakehuyo JOKA KUU...
NI MENGI MENGI MENGI, HUWEZI KUYAMALIZA MAUFISADI YAO YA AWAMU YA NNE,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika JK ni mtu wa pekee majina mengi mabaya anapewa yeye lakini cha ajabu alaniki bado anadunda yuko fiti hakika mungu ni mwema sana kwake .vijana tuacheni chuki za kijanga kwa yule mzee na icho ndicho kinachowaferisha vijana wengi wa tanganyika na kule visiwani
 
Nakubaliana na paragraph yako ya kwanza “Ufisadi “ na hiyo ndio anayoweza kuwa anaijutia mpaka sasa kama angekuwepo !!
Wala asingejutia kwa sababu ni mwenyewe ndie alichagua kutowashughulikia...

Yeye alikuwa ndo Rais, Mwenyekiti wa Chama, Amir Jeshi Mkuu, Mwenyekiti wa National Security Council, Mteua Majaji, Mteua Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, and all that!!

Sasa ajutie nini wakati uwezo na nyenzo za kushughulikia watu alikuwa nao lakini bado akaamua kutowashughulikia?!

Don't forget, ni yeye mwenyewe ndie aliutangazia umma kwamba Wizara ya Mambo ya Ndani, kupitia Jeshi la Zimamoto umefanyika ufisadi mkubwa. Kutokana na hilo, akamwachisha kazi Kangi Lugola na aliyekua Kamishna wa Zimamoto, yaani Tobias Andengenyewe!

Nini kilifuata baada ya hapo? Andengenye akamrudisha tena kwenye payroll ya serikali kwa madai kwamba amemuomba msamaha!!!

Seriously?!
 
Kwakweli !! Hata ukiwa mtetea legacy sometimes unaishiwa maneno ! Kwahiyo mambo ni Abracadabra tu na mazingaombwe yanaendelea duh !!
 
Kwa tume ipi ya uchaguzi??

Ile ile ilowapa 60% na 58% mwaka 2010 na 2015 respectively. Binafsi naamini wizi hua unawezekana pale tofauti ya kura inapokua ndogo. Tofauti ikiwa kubwa they would risk tearing this country apart.
 
Maana ya katiba ni Sheria Mama ya masuala yote yanayoihusu nchi na watu wake !! Kama ni mbaya itawagusa wote wanaoijua na wasioijua ! Na kama ni nzuri itawagusa wote wenye kuijua na wasioijua. !! Hata huko marekani na ulaya sio watu wote wenye kuzijua katiba zao !!
Ni kweli kabisa, ila naangalia huo muamko wa hao wananchi wenyewe juu ya hiyo katiba mpya ukitizama vizuri utaona kwao huona madai ya katiba mpya ni kama jambo la wanasiasa siasa na siasa zao huko, ndio maana nauliza hawa ndio waliyoitaka hii katiba mpya?
 
Ukimutazama huyu mzee namna anavyowatazama marais waliofuata baadae ya yeye kuondoka ikulu utagundua analo jicho lisilo na wema ndani yake. Namna alivyokuwa akimtazama JPM kipindi kile alivyokwenda katika shindano la kuhifadhi Quran pale uwanja wa Taifa utagundua ule mtazamo wa dharau.

Hata kusema kuwa kama SSH atashindwa kabisa kuelekea 2025 ndio watamuondoa ni kauli tata japokuwa inaweza kuwa na maana nzuri kwamba kuna kazi ya maana inafanyika awamu hii hivyo kuiondoa madarakani ni mpaka ikibidi na hakuna uwezekano wa kufika huko.

Awamu hii JK ana raha zaidi akiwa mshauri wa rais anayesikilizwa, SSH anaweza kuwa kiongozi mzuri lakini jinsia yake inatumiwa vibaya na JK pamoja na kundi lake pana.
 
Lowasa hajaua. Magufuli yuko kwenye viwanho vya akina Hitler, Bokasa, Mobutu, Idd Amini, Mussolini, n.k.

Ndiyo maana mzee Makamba, mzee mzalendo wa nchi hii amesema "mtu mbaya kama Magufuli haishi.
Tunajua hasira zako hizi ni kwasababu alikubutua!

Jiulize kwanini unawashabikia hao wazee wako wa hovyo,

Vipi ulimboka aliteswa na nani?
Vipi Mwangosi lile bomu lililomsambaratisha rais alikuwa nani na katibu wa chama alokuwa nani?
Vipi lile bomu lililorushwa kwenye mkutano wa machadema na kuua watu 5 pale Soweto arusha ulikuwa utawala wa nani ule?

Hao ndio watu wazuri?

Lazima utakuwa na mavi kichwani
 
JK na Makamba walikuwa waovu wakati wa madaraka yao? Wale walikuwa wezi. Ila magu alikuwa mwizi na katili.
Kumbe na wewe ni taahira ee?

Wale watu 5 waliouawa na bomu pale Arusha kwenye mkutano wa machadema rais alikuwa nani?
Vipi Dr Ulimboka aliteswa kwenye utawala upi?
Mwangosi yule mwandishi wa chanel ten alisambaratishwa bomu kwenye mkutano wa chadema pale nyororo iringa chini ya utawala upi?

Jk alitumia mpaka mabomu ila ndio kipenzi chenu..

Hakika Magu alijua kuwabutua.

Kumbe ndio maana ccm inawafanya inachotaka sababu ni wapumbavu
 
Kumbe na wewe ni taahira ee?

Wale watu 5 waliouawa na bomu pale Arusha kwenye mkutano wa machadema rais alikuwa nani?
Vipi Dr Ulimboka aliteswa kwenye utawala upi?
Mwangosi yule mwandishi wa chanel ten alisambaratishwa bomu kwenye mkutano wa chadema pale nyororo iringa chini ya utawala upi?

Kumbe ndio maana ccm inawafanya inachotaka sababu ni wapumbavu
Halafu mtu ukimwambia hayo mashambulizi yako kwa Magufuli ni chuki tu hizo anakataa et anajifanya anakosoa anashikilia Lissu Lissu, washasahau hayo matukio ya awamu zilizopita.
 
Ni mataahira hayo
 
Ni kweli kabisa, ila naangalia huo muamko wa hao wananchi wenyewe juu ya hiyo katiba mpya ukitizama vizuri utaona kwao huona madai ya katiba mpya ni kama jambo la wanasiasa siasa zao huko, ndio maana nauliza hawa ndio waliyoitaka hii katiba mpya?
Katika Nchi nyingi tu duniani wengi huwa ni bendera fuata upepo !! Lakini hata Uhuru huwa haupiganiwi na watu wooote wa Nchi ! Bali ni watu wachache hufanya hizo harakati na hatimaye Uhuru ukishapatikana tunasherehekea wooote kwa pamoja !! Ndivyo ilivyo Mkuu 😅👍
 
Back
Top Bottom