Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Mkuu pole sana, hayo ndio mnayoyaongea mnapokuwa mmekaa kijiweni kwenu!!.

Ni lazima reforms ziwe na maumivu. Huo unaouita kukurupuka ndio dawa ya mentality za kivivu za kitanzania.

Ni suala la muda tu na anachokifanya sasa hivi kitakuwa kimeeleweka. Dawa inapoendelea kuingia kweye damu ndivyo ugonjwa unavyozidi kutoka mwilini.
Propaganda za kichina zinachekesha kwenye vijiwe vyenu mumepotoka sana Magufuli hakuna reform ya aina yeyote aayofaanya Zaidi ya kuingiza nchi kwenye lindi l umaskini believe me ukiangalia hata hesabu za Benki kuu kenye tovuti yao inaonyesha Maagufuli ni failure na hatuwezi kumremba wakati anaishi na kupata kila aina ya insntives kwa pesa zetu tutasema kwamba ameshindwa mno big time hizo reform za kimagumashi aachane nazo azingatie wataalamu wanasema nini dawa inamwingia yeye lakini imekuwa sugu anagesikia ushauri ingekuwa dawa nzuri
 
No...Hili suala siyo la kuchukulia kiuwepesi wepesi kama unavyofikir wewe hili suala lilitakiwa kwanza viongozi wa ngazi za juu kulifahamu kabla ya media kupewa .....je wewe unafahamu madhara gani yatatukumba mara baada ya kuropoka hivyo.??... Hata kama ni ikweli je lilikuwa limeisha fanyiwa uchunguzi wa kutosha ni kwa kiasi gani limeathiri.... Kaangalie ile taarifa ya huu ugonjwa kule Brazil mara baada ya kutanzwa nini kilitokea..???
Ina maana huelewi kama neno utafiti ndo uchunguzi wenyewe!!
 
Ajabu sana, tena unajikurupua kwenye media kuutangazia ulimwengu jambo zito kama hili?
Kwani unafikiri huo "ulimwengu " ni ki.la.za kama wewe hawajui tofauti ya endemic and epidemic cases?.
 
wewe na hao wenzako hamjui chochote katika practice ya public health ethics. Mnadhani kula kitu kinaendeshwa kwa empty politics! Hapana sivyo!
Jiulize,kama Huyo mama angetangaza kuwa hakuna huo ugonjwa angetumbuliwa?
 
Mh rais.mungu aliyekupa urais ndo kauleta huo ugonjwa.Huyo mama unamuonea bure.maana yeye hajauleta huo ugonjwa.sasa unatakiwa ufanye kazi ili kuudhibiti.tunaamini katika hlo hautabana matumizi.
 
Jiulize,kama Huyo mama angetangaza kuwa hakuna huo ugonjwa angetumbuliwa?
Hakupaswa kutangaza wala kukanusha chochote hadharani kabla ya serikali haijajipanga kwa response inayostahili.
 
Whatever it is....research findings from the public institutions should be made publicly available for challenges. .....siasa za kukanusha sidhan kama zitasaidia, Huwezi kwepa facts kwa mane no.
Wizara nayo lazima ijipange kisayansi, kukabiliana na tafiti kama hizo..Dr.Kigwangala knows the rest. ..

There wasn't any research on ZIKA.
 
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
nakiunga mkono ndugu
 
Hata upungufu wa dawa mahospitalini wali kanusha, lakini ilikua kweli dawa hukuna.
 
Watanzania na ushabiki wa kijinga kabisa!! Kizazi cha nyoka kisicho jitambua wala kutambua thamani ya taifa lao.
Fafanua kamanda ujinga wetu nini? DR kuusema ukweli watu wakamuunga mkono? au Waziri kulitetea taifa lisipoteze watalii na athari zingine za kimapato watu wakamuunga mkono? Au Mzee kumtimua Mwele watu wakatetea?
 
Propaganda za kichina zinachekesha kwenye vijiwe vyenu mumepotoka sana Magufuli hakuna reform ya aina yeyote aayofaanya Zaidi ya kuingiza nchi kwenye lindi l umaskini believe me ukiangalia hata hesabu za Benki kuu kenye tovuti yao inaonyesha Maagufuli ni failure na hatuwezi kumremba wakati anaishi na kupata kila aina ya insntives kwa pesa zetu tutasema kwamba ameshindwa mno big time hizo reform za kimagumashi aachane nazo azingatie wataalamu wanasema nini dawa inamwingia yeye lakini imekuwa sugu anagesikia ushauri ingekuwa dawa nzuri
Mkuu maishani huwezi daima ukaishi bila ya kutegemea challenges. Anachokifanya mkulu unaweza wewe kuwa hukipendi, sasa jifunze kuishi na kitu ambacho upeo wako na uwezo wako wa kuyachambua maisha unakwambia kwamba mambo hayaendi sawa.

Hizo report za benki ni mambo ya muda mfupi sana, long term effect ya haya yanayofanyika sasa ni njema sana kwa taifa. Ukiitazama Tanzania kiubinafsi kwa maana kwamba inaisha baada ya kifo chako basi huwezi kuelewa chochote kinachofanyika sasa. Lakini ukiitazama nchi kwa maana ya maisha kuendelea baada ya siku yako ya mwisho duniani kuwa imefika, hutalaumu jinsi unavyolaumu na huwezi kuongozwa na machungu ya moyoni kama unavyoongozwa.

Miaka minne kuelekea 2020 itakuwa ni mingi sana na mibaya sana kwako lakini kwa wengine wenye kuweza kuendana na reality ya maisha, wakaweza kuendana na mabadiliko halisi ya sasa.

Na siku kweli kwamba mkulu hapendi ushauri na sio kweli kwamba maamuzi ni ya kwake, vikao vya baraza la mawaziri kazi yake ni nini kama hapendi ushauri?
 
Awamu hii ukweli unageuzwa kuwa uwongo na ukisema ukweli utaumia mbele ya huyu fedhuli. Tafiti za twaweza zinazoratibiwa na yule jamaa mwenye utanzania wa mashaka ndiyo unaaminiwa na Mhima aliyeamua kututia kwenye viroba lakn Mtanzania wa leo sio yule wa miaka ya nyuma aliyenyimwa elimu ya uraia asijue haki yake hakika tutapigania uhuru wetu unaotiwa doa na siku tutashinda
 
Research results can be nullified by research results too. Kusema uhaini mtu kutoa majibu ya research huu ni upumbavu hali ya juu.
Unajua mambo mengine yanatia hasira unaweza kutukana ukaonekana si muungwana hawa si viongozi bali ni wauaji lakini dawa ni kwenye sanduku la kura 2020
 
Back
Top Bottom