Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Kujivunga ni kweli hakuna lakini unapoipa nchi yako sifa mbaya, yule anayekusoma au kukusikiliza hakuonei huruma sana sana anakudharau.hakuna kujivunga ndo maana wanaoenda kujitangaza itv tunashuhudia wanatibiwa hadi india ambako kikawaida wanaendaga wenye uwezo