Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,680
2,000
image.jpeg

Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.

Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.

Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili.
image.jpeg
 
ablood8

Senior Member
Aug 12, 2010
182
225
View attachment 447607
Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.

Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.

Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili. View attachment 447607
Ndio kosa la Dr Malecela hili,kutumbuliwa ilikuwa haiepukiki
 
mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,315
2,000
Whatever it is....research findings from the public institutions should be made publicly available for challenges. .....siasa za kukanusha sidhan kama zitasaidia, Huwezi kwepa facts kwa mane no.
Wizara nayo lazima ijipange kisayansi, kukabiliana na tafiti kama hizo..Dr.Kigwangala knows the rest. ..
 
Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,015
2,000
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
 
smart one

Senior Member
Sep 5, 2013
127
225
Whatever it is....research findings from the public institutions should be made publicly available for challenges. .....siasa za kukanusha sidhan kama zitasaidia, Huwezi kwepa facts kwa mane no.
Wizara nayo lazima ijipange kisayansi, kukabiliana na tafiti kama hizo..Dr.Kigwangala knows the rest. ..
True beyond all doubts, Dr Kigwangala has decided to be silent because he knows the truth.
 
rongai

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
462
500
Hao waliokanusha zika haipo research yao iko wapi tuione ili tudhibitishe kanusho lao maan waliosema vimelea vya zika vipo research wamefanya wa kisayansi na ndio maana vyombo vya habari vya nje vinaimani na research zaidi kuliko maneno ndio maana wanatangaza ipo.
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,293
2,000
Whatever it is....research findings from the public institutions should be made publicly available for challenges. .....siasa za kukanusha sidhan kama zitasaidia, Huwezi kwepa facts kwa mane no.
Wizara nayo lazima ijipange kisayansi, kukabiliana na tafiti kama hizo..Dr.Kigwangala knows the rest. ..
Nimemkumbuka Dr.KIGWENGELE na harakati zake kwa kumtumbua yule mtaalam wa miti shamba.
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,293
2,000
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
Hii utajua wewe ila sisi tumishaona SIZONJE anaipeleka TZ kusikojulikana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom