Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Badala ya kumlaumu dr mwele, tungeungana kudai utafiti wa kina ufanyike. Kama hivyo virusi viko kweli, watakaoathirika ni watoto wetu. Wahenga walisema 'Mficha maradhi kifo kinamuumbua'.

In my opinion, huyo mama alikuwa on the "firing" zone.

Kitu ambacho watanzania wengi huwa atujiulizi ni kwamba agencies nyingine za Umoja wa Mataifa au NGO utafuta mbinu za kufuja fedha za wafadhili kwa kujifanya wanafanya tafiti au kutoa madai kwamba wanahisi Taifa letu limekumbwa na ugonjwa na ZIKA wakiwa na lengo la Publicity stunts tu, sina shaka Serikali ilifatilia mwenendo wa Dk.Mwele na kugundua ukweli ni upi, tusianze kulaumu laumu tu.
 
La sukari haku admit kwamba alikuwa wrong, sembuse hili. Wanaozaa sasa hivi ambao wana taarifa hizi wachukue tahadhari. Akili kichwani.
 
View attachment 447607
Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.

Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.

Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili.View attachment 447607
Unajua maana ya MAY BE,
Not sure
 
Me tokea juzi ..nimestisha ufyatuaji..mpaka hapo nitakapopata muhafaka ...kwamba zika haipo..nyie fyatueni..tu..
Achana na Ngo'mbe wa mayai hawa! Wao wanafikiria kutetea kila la kijinga ..waseme na Ukimwi haupo kabisa
 
La sukari haku admit kwamba alikuwa wrong, sembuse hili. Wanaozaa sasa hivi ambao wana taarifa hizi wachukue tahadhari. Akili kichwani.

Mkuu unaweza kutupatia source ambapo alisema alikosea kuhusu suala la SUKARI?
 
Smart one kumbe unaogopa? Ulikuwa umekomaa kupost juu ya mnyama flani sasa hivi umeibuka na ZIKA. Duh....?
 
Mkuu unaweza kutupatia source ambapo alisema alikosea kuhusu suala la SUKARI?
Kusema kweli sina huo muda wa kutafuta, kama mwenye hizo information alete hapa au mwenyewe tafuta video clips. I know what I heard na kilichokuwa kinaendelea and how much it affected my life. Nadhani wewe hukuweko nchini wakati huo au unataka 'kunisuta'.
 
Back
Top Bottom