Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Mie napita tu

Zika ipo Tanzania, lakini Mungu anatupenda, yaani immune system imekaa vizuri sana kuhandle na infact imetokea huku Africa na Asia, yaani hii kuspread huko latin American ni recent phenomena, ndio maana hata miili yao inashindwa kuhandle, kwa sababu hawakua exposed kwa sana na hii virus, lakini trust me..Tanzania ipo na watu wanatembea nayo..

lakini si unajua tushakua sugu...na ndio maana Government wameamua isnot a big of a concern kama inavyoelezewa...kwa hio Government iko more precautious kuitolea matamko kama tumeshafikia stage ya latin America, lakini muhimu sana pawepo na clear guidelines, healthy warnings, na jinsi gani yakujilinda, ambayo campaign yake inaweza kuwa sawa na ile ya Malaria, in terms of prevention.. na hapa government wastep in kuwepo na hio awareness...
 
DR MWELE NI MUHAINI KABISA.

13a6062d9a6f74c5cdd8168fb1bc79e2.jpg
 
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
Asee ngoja nianze kufikiria mbele...

Kwahiyo zile ndege za Faru John zitakosa wateja eeeh... [emoji124] [emoji124]
 
Kwa nn mnamlaumu mwache laumuni taasisi yeye n mwakilishi tuu. Ila nina omani kuwa nimri n taasisi kubwa vip yule Mkurugenzo aliyepita Yonaz Kitua aliyegundua chanjo ya malaria na kituo kupata sifa huyu kaenda maabara kaja na majibu mnamlaumu kuwa kwa nn kasema
 
Maamuzi ya kukataza mikutano ya wapinzani wakati ya chama chake inaendelea hadi ikulu yana manufaa gani kwa taifa? Wewe ni mpuuzi wa hali ya chini kabisa. Pambaaf!
 
Vijana hata Tafiti ndogo kama hizi hawafuatiliii
 

Attachments

  • 1482048293557.jpg
    1482048293557.jpg
    58.9 KB · Views: 46
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
Huo utafiti wa Dr. Mwele ni kwa manufaa yetu, siasa na afya visiingiliane kwa kiwango icho
 
View attachment 447607
Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.

Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.

Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili.View attachment 447607
Minathani swala lilikuwa sio kumfukuza huyu dk swala lilikuwa nikuwabaini hao asilimia 15 iliwachunguzwe kama ivyo virusi ni vyenyewe kweli au la kukataa alafu iwe ni kweli ugonjwa upo ni sawa na kujua we ni muathirika huku unakataa wesio ila mficha magonjwa mauti umuumbua lazma watalamu watakuja kufanya utafiti labda wawazuie hapo tutajua ukweli tu,tushazoea mtu akisema ukweli anaonekana hafai huku wanasahau wakati tulionao dunia imekuwa kama kijiji sio swala la uwongo uwongo na kuleta siasa sehemu ambayo haitaji siasa
 
Back
Top Bottom