[emoji2]Hakuna ZIKA
By TWAWEZA!!
Kwa hiyo amevunja sheria?mbona hata Huyo aliyemtumbua anavunja sheria na katiba?au yeye yuko juu zaidi.Soma sheria ya NIMR, kanuni na miongozo yake utaelewa kazi za CEO wake.
Mnaona aibu kuwa na magonjwa?Dr. Malecela kakosea sana sana... hajui utaratibu kabisa wa kutoa jambo zito kama hili.. shame on her..!!
huwezi kutangazia ummaWhatever it is....research findings from the public institutions should be made publicly available for challenges. .....siasa za kukanusha sidhan kama zitasaidia, Huwezi kwepa facts kwa mane no.
Wizara nayo lazima ijipange kisayansi, kukabiliana na tafiti kama hizo..Dr.Kigwangala knows the rest. ..
Haya majina mengine tunayojipa tuwe makini nayo... wakati mwingine yanaakisi kile tunachofikiri na kuandika..IPO siku itakuja kutokea Ebola.alafu watapiga kimya.kuja kutangaza hali ishakuwa mbaya.huu ujinga wanaofanya ndo maana kipindu pindu uwa kinauwa sana.uwa najiuliza inakuwaje kipindu pindu.kinaenea kwa kwa nguvu sehemu kubwa?kumbe inawezekana dalili waliziona ila wamepiga kimya.wanataka wauzuie kimya kimya.wakiona wameshindwa ndo wanatangaza.wakati huo ni majanga.
Asingetumbuliwa Dr Malecela wala lisingepata hii coverage!Ndio kosa la Dr Malecela hili,kutumbuliwa ilikuwa haiepukiki
Kumbe unatangazia nini?huwezi kutangazia umma
Tunawasubiri TWAWEZA waje na yao,,,,!Mmezoea tafiti za Twaweza, kazi kusifia tu,
Haya basi Twaweza wanasema hakuna virus vya ZIKA 100%
Maana ukweli kwenu ni shubiri
peleka wizarani kwanza kila kitu kina utaratibu wakeKumbe unatangazia nini?
Wakati anatangaza alikuwa na nani?peleka wizarani kwanza kila kitu kina utaratibu wake
Msikilize hapa mwanasanyansi wetu aliyetumbuliwa, ameeleza humo lengo la utafiti waliofanya.Sijui lengo lake lilikua nini
Kwani matokeo ya tafiti zinazofanywa kwa kodi yetu,nani mwenye haki kujua?huwezi kutangazia umma
Excuse me?There wasn't any research on ZIKA.
Hovyo kabisa
Kila jambo lifanyike kwa Akili na utaratibu....Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.