Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Madhara yake n kwamba, unazaa mtoto mwenyewe kichwa kidogo, sawa na mtu mwenye utindio wa ubongo, sema huyu anakua na kichwa kidogo kweli kwel na afya mgogoro mara nyingi
ok, kumbe una madhara makubwa, mwishowe tunapata taifa lenye walemavu wa kila aina, kama madhara yake yanaanzia kichwani
 
Swala jengine ambalo ndio muhimu kwa sana, Dr. Mwele amefanya kazi nzuri na Serikali lazima itambue hilo mchango wake kutupa scientific findings ambazo kwa ufupi inaelezea 15% ya samples, zimeonyesha kuwepo kwa hili gonjwa hususan kando ya ziwa, tusilaani kitendo chake, bali tuwe nae karibu sana, ijapokua amefanya misteps ktk kutangazia umma, kwangu mimi sidhani kama dismissible offence, angewekwa chini na kufahamishwa, lakini nililolionna mimi wakubwa wake wa kazi yaani wizarani, walikua kama wanamuignore kwa vile, ndio maana hata yale matamshi yake kwenye conference yanajieleza wazi, yalikua na hasira kwa sababu ya bureacracy na politicisation ya kila kitu kwetu ndio mwendo kasi. pitia video utayaona hayo. hatma yake ni political ramifications kama hizo tulizoziona.

lakini ambalo ninalitaka kuliongelea hapa, serikali na wizara husika zikae chini, nini cha kufanya kwanza kabisa on immediate effect kuwasaidia waathirika, na pili wataweza vipi kuwasaidia wale waathirika yaani watoto, najua hili ni long short kwa serikali zetu lakini linawezekana. Hapa naongelea maswala mazima ya ulezi wa mtoto, in terms ya lishe, wachambue vyakula gani vya kuwalisha, ili kuwezesha kuondoa learning difficult hapo baade, na kuweza some how waweze kuji establish at a certain extent kama normal children, hii kwa manufaa ya nchi na wananchi wake.

na pili ndio hio vita, ya kutambua dalili, njia na tiba, na watu vile vile watapata elimu ya kujua kama wanataka kupata mtoto, wajue kwanza wapime na vipimo viwepo, yote hizi measures zitasaidia serikali, yaani ni kama malaria vile, kila mtu anajielewa akiona dalili mbio hospital, imagine kama hatuko aware nayo, tungekua tunaathirika sana lakini measures zilizochukuliwa na serikali na watu wake, tumeshajitambua. sasa tunashirikiana na Bill Gate kuisaka chanjo..
Naona wengine wetu wanafurahia sana hii ripoti mbaya inayotolewa huko nje ili KUTUHARIBIA SIFA kama taifa la Tanzania,
Je huu ni UZALENDO ama ni kufurahia HUJUMA???????????
 
View attachment 447607
Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.

Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.

Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili.View attachment 447607
Ila wapendwa hapa ndipo napofikiri nje ya box ile Katiba ya wananchi kupitia kwa jaji Warioba ipitishwe ifanye kazi yaale maadili ya kazi yaweze kuheshimi yaaani hainiingii akilini wasomi wanakaa wanafanya utafiti wanagundua kitu moja kwa moja hao kwenye vyombo vya habari bila hata kuangalia mbele madhara yatakayoweza kujitokeza huko mbeleni ona sasa jumba bovu lilivyotuangukia watanzania na hawa weupe wasivyotupenda waafrika Mungu tu aepushie mbali hii ni pasua kichwa
 
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.

Malecela Mbwele alitaka kufukuza investors na watalii!!!!!!!!! such leaders should think twice before they open their mouths and emit [emoji91] else ndege zetu zitakosa abiria kutoka Ulaya.
 
Naona wengine wetu wanafurahia sana hii ripoti mbaya inayotolewa huko nje ili KUTUHARIBIA SIFA kama taifa la Tanzania,
Je huu ni UZALENDO ama ni kufurahia HUJUMA???????????
Kwa hyo huo ugonjwa hamnaa?
 
Ila wapendwa hapa ndipo napofikiri nje ya box ile Katiba ya wananchi kupitia kwa jaji Warioba ipitishwe ifanye kazi yaale maadili ya kazi yaweze kuheshimi yaaani hainiingii akilini wasomi wanakaa wanafanya utafiti wanagundua kitu moja kwa moja hao kwenye vyombo vya habari bila hata kuangalia mbele madhara yatakayoweza kujitokeza huko mbeleni ona sasa jumba bovu lilivyotuangukia watanzania na hawa weupe wasivyotupenda waafrika Mungu tu aepushie mbali hii ni pasua kichwa
Kama ugonjwa upo.upo tu
 
Mm naona huu utafit wa kujua zika IPO au haipo ingefanywa na
Redet kusaidiana na twaweza
 
View attachment 447607
Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.

Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.

Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili.View attachment 447607
Kama zika ipo ipo tu! hatuwezi kupingana na UKWELI eti for the sake of the country, mficha maradhi MAUTI itamuumbua!!! let it be reported hata kama ni CNN regards the truth.

[HASHTAG]#justice4lema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#free maxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#bringbackalivebensaanane[/HASHTAG]
 
Haya sasa tayari tushaanza kukosa watalii duuuh.!!....Pomb@ angalia hayo mandege yatakuwa daladala fanya kitu...maana Lisemwalo lipo kama halipo laja...
Unawaza watalii wakati kizazi chako hakipo salama .....watanzania tuna matatizo gani jaman.
 
Fafanua kamanda ujinga wetu nini? DR kuusema ukweli watu wakamuunga mkono? au Waziri kulitetea taifa lisipoteze watalii na athari zingine za kimapato watu wakamuunga mkono? Au Mzee kumtimua Mwele watu wakatetea?
Ukweli!!?
 
Unao uhakika hakuna linaloendelea katika mapambano dhidi ya huo ugonjwa?.

Unaweza kumchukia mtu au mfumo fulani lakini ni dhambi kubwa sana kuwa na mawazo ya kutaka nchi yako ipate jina baya kimataifa.
Jina lilitengenezwa na wapigania Uhuru kuna nini tumefaidika as a country wengi kama sio wote wametusahau
 
Sijui lengo lake lilikua nini
Lengo ni serikali kukabiliana na hali halisi kwa kuchua hatua stahiki na sahihi katika kulinda wananchi wake na wageni pia dhidi ya ZIKA. Nadhani hilo liko wazi na halikuhitaji swali kama la hilo!!!!!
 
View attachment 447607
Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.

Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.

Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili.View attachment 447607
Badala ya kumlaumu dr mwele, tungeungana kudai utafiti wa kina ufanyike. Kama hivyo virusi viko kweli, watakaoathirika ni watoto wetu. Wahenga walisema 'Mficha maradhi kifo kinamuumbua'.

In my opinion, huyo mama alikuwa on the "firing" zone.
 
Haya sasa tayari tushaanza kukosa watalii duuuh.!!....Pomb@ angalia hayo mandege yatakuwa daladala fanya kitu...maana Lisemwalo lipo kama halipo laja...

Majibu mengine unaweza kufikiri msemaji si Mtanzania mwenzetu, sasa watalii wakikacha kuja Tanzania wewe utafaidika/nufahika nini?
 
Back
Top Bottom