Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Ku
View attachment 447607
Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.

Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.

Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili.View attachment 447607
Kumtumbua Dr. Mwele kumechangia kiasi fulani Dunia kutaka kujua ukweli wa jambo hili na kwa nini mwenye mamlaka achukue hatua za haraka kumfuta kazi mama huyu.
 
Mi naomba kuuliza jamani nifahamishwe kwani hiyo Zika Tanzania haipo kabisa yule mama kadanganya na tafiti yake?....au kweli ipo ila hakutakiwa kutangaza kwa usalama wa nchi....kuuliza sio ujinga jemeni
 
Haya sasa tayari tushaanza kukosa watalii duuuh.....Hili suala ilitakiwa siyo dogo kabisa ilitakiwa nguvu za kitafiti zifanyike kuutambua ukweli kabla ya kuuweka public maana athari zake ni kubwa kwa taifa ila kumbukeni...Lisemwalo lipo kama halipo laja...
Hebu punguzeni hizo roho chafu za kiuaji.....yaani mnataka ugonjwa ufichwe kwa kisingizio cha kupata watalii!
 
DR MWELE NI MUHAINI KABISA.

kosa la huyu mama ni kutoa taarifa za huu ugonjwa hadharani wakati protocal haziruhusu naunga mkono kutumbuliwa kwake kwa hili kosa.

Kazi ya serikali ni kuhakikisha research zilizofanyika ni kweli za kitaalamu na huu ugonjwa kweli upo Tanzania? ikiwezekana hata kushirikisha wataalam kutoka nje. Hili la utafiti halihitaji siasa maana hapa kuna maisha na afya za watu
 
Hebu punguzeni hizo roho chafu za kiuaji.....yaani mnataka ugonjwa ufichwe kwa kisingizio cha kupata watalii!
No...Hili suala siyo la kuchukulia kiuwepesi wepesi kama unavyofikir wewe hili suala lilitakiwa kwanza viongozi wa ngazi za juu kulifahamu kabla ya media kupewa .....je wewe unafahamu madhara gani yatatukumba mara baada ya kuropoka hivyo.??... Hata kama ni ikweli je lilikuwa limeisha fanyiwa uchunguzi wa kutosha ni kwa kiasi gani limeathiri.... Kaangalie ile taarifa ya huu ugonjwa kule Brazil mara baada ya kutanzwa nini kilitokea..???
 
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
Povu la nini Mkuu, hujasikia? TWAWEZA wanasema TZ is free from Zika 100%
 
Vipimo vyake vya uongo?
Sio issue ya Vipimo ndugu, issue ni impact baada ya kutangaza kihorela. Watalii wako wana cancel safari kuja Tanzania. Vyombo vya nje na majirani zetu wanavyolitangaza ni as if mtaani kwenu wagonjwa mko wengi. Sasa je wewe binafsi unawajua wangapi wenye huo ugonjwa.

Yule mdada kafanya makusudi kuliangusha taifa kiuchumi
 
No...Hili suala siyo la kuchukulia kiuwepesi wepesi kama unavyofikir wewe hili suala lilitakiwa kwanza viongozi wa ngazi za juu kulifahamu kabla ya media kupewa .....je wewe unafahamu madhara gani yatatukumba mara baada ya kuropoka hivyo.??... Hata kama ni ikweli je lilikuwa limeisha fanyiwa uchunguzi wa kutosha ni kwa kiasi gani limeathiri.... Kaangalie ile taarifa ya huu ugonjwa kule Brazil mara baada ya kutanzwa nini kilitokea..???
Mmezoea kuoneshwa matokeo kabla ya hayajatangazwa, NIMR siyo NEC dadeki na Dr. Malecela siyo kile Kibabu chenu kichawi, Lubuva!
 
Sio issue ya Vipimo ndugu, issue ni impact baada ya kutangaza kihorela. Watalii wako wana cancel safari kuja Tanzania. Vyombo vya nje na majirani zetu wanavyolitangaza ni as if mtaani kwenu wagonjwa mko wengi. Sasa je wewe binafsi unawajua wangapi wenye huo ugonjwa.

Yule mdada kafanya makusudi kuliangusha taifa kiuchumi
Magufuli mbona alishasema potelea mbali watalii na wasije sasa shida nini?
 
Mkuu taarifa kama hizi au za ughaidi kwa wenzetu walioendelea na wajanja hasa ktk zama hizi za ushindani wa kibiashara huwa zinafichwa sana na serikali hasa machoni na masikioni mwa media za kimataifa hadi hali iwe mbaya. Ndio maana Kenya haisifiki sana habari ya ughaidi ili kulinda biashara ya utalii au ili kukwepa kupoteza wawekezaji wageni.
Kaka kwa mtazamo huo its ok!.
Lakini pia zipo several variables ambazo tayari zinapelekea discouraging investment na tourism in Tz. We don't advertise, we impose higher taxes as well.
Tusimuhukumu Dr. Mwele kwa kuwa muwazi ktk issue hii. We better reduce taxes and add subsidies ktk tourism industry.
Pia ktk investments tunahitaji kuwa kuconsider interests on investment ili kuincourage.

Hii case ya ZIKA naamini imeenda na mtu makusudi c kuwa kwa kuwa hakufuata protokali.
 
Kwa SIZONJE ni kosa Lkn Dr. Yupo sahihi kabisaa. Shida inabaki kwenu nyie mazombi[emoji83] mnaoona SIZONJE yuko sawa
Yaani ww ni mjinga mpaka matakoni,yaan unashabikia mtu kutengeneza kitu kikubwa kiasi hicho na chenye athar kwa taifa?

Ningejua unakopatikana,ningekufanyia utafit.

Sii bure...
 
Hata kama dunia nzima washaanza kuamini kuwa Tanzania si salama, Issue ni kwamba nani alianza kuizungumzia? Na impact yake ikawa nini? Au impact yake itakuwa nini?
 
Kaka kwa mtazamo huo its ok!.
Lakini pia zipo several variables ambazo tayari zinapelekea discouraging investment na tourism in Tz. We don't advertise, we impose higher taxes as well.
Tusimuhukumu Dr. Mwele kwa kuwa muwazi ktk issue hii. We better reduce taxes and add subsidies ktk tourism industry.
Pia ktk investments tunahitaji kuwa kuconsider interests on investment ili kuincourage.

Hii case ya ZIKA naamini imeenda na mtu makusudi c kuwa kwa kuwa hakufuata protokali.
Hahaaa Dr.Mwele kaenda kutumbua uvimbe wa saratani na msumari wenye vimelea vya pepopunda (Tetanus).
 
Back
Top Bottom