Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
- Thread starter
- #161
Sihitaji ndoa zamatatizo za humu ndani sijaachika wala sina mume na wala sitarajii kuwa na mtu yeyote labda wewe nikuoe mie
Khaa..!! unioe mwenyekiti..!! ngoja nimuulize Mama v kama inaruhusiwa then I will come back to you...!! vigezo na masharti kuzingatiwa
Last edited by a moderator: