KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,945
- 9,458
Nipo Johannesburg nafanya mipango yakurudisha Ndege ya Fastjet ambayo ilikuwa imeanza safari za Dar-Johannesburg hivyo ni ndege Kubwa nadhani ittosha ila naomba niwaambie kuwa mwisho wandege ni Mwanza nitamuomba Nicas Mtei atuandalie ndege ndogo awambie costal travel,tanzaniar, wasitishe kwa sikuhiyo shughuli zao kwani ndege hizo zimeishakodiwa!Pia tutamuomba Mzeewarula atusaidie logistic hiyo!Pia naomba huu ujumbe umfikie Arusha one nikwamba tunahitaji gari kumi za tours ili kupakia wageni kutoka Pale Bukoba Custom hadi kijijini!Pia mzee wa lidabokibini unaombwa kuhudhuria Asprin mengine mtafahamishwa ila mnaombwa kutokuja na Couples kwani kila kitu kiko huku!na endapo mmekutana huku kwa bahati mbaya potezeaneni!