Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Tatizo zubedayo_mchuzi alikuwa hajui ndoa ni nini.. wenzie wanahudumia wake zao yeye amekaa tu kujisifia mara ohoo nimetembea Kimara hadi kariakoo kwa miguu, mara naweza kupiga ngumi miambili kwa dakika... kuja kumaliza kuongea anakutana na talaka, huku na huku nitonye kaweka ngoma gambani, na jinsi alivyokuwa na ukame wa miaka kule machimboni kwake hakutaka kuremba. Kwa sasa zubedayo_mchuzi tumempeleka "darasani" pale mlipojifunzia wewe, Bishanga Mr Rocky na Vin Diesel .... yu no worram seingi......?? yuko kwa Mamndenyi anapata darsa la mapenzi. That is what went "right"..
Baba V me penda sana wewe
Last edited by a moderator: