Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
- Thread starter
- #181
[/QUOTE]Hukawii kuripoti kuwa umefanyiwa hujuma kumbe
wewe ni mwalimu usiyeelimika; grrrrrrrrrrp!
Hivi hadi leo kiswahili bado KINAKUCHENGA...!?? kuna kashfa na zereu gani hapo wangu..!?
Hahahahaaaaa...!!! mimi na wewe hatudhuriani, mimi na wewe kama masai na lubega...