Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

Arushaone lazima niambatane naye maana huo ndio ubavu wangu, kama umejitolea kuwa bodigagadi wangu basi sawa utakuwa nyuma yangu wakati wa kupeleka zawadi, wa maakuli na wakati wa kudensi,, ila ukipigwa shaba ya kichwa na Arushaone tusilaumiane

Shaba ina kelele....siku hizi mtindo ni tindikali tu.

Aione Eli79
 
Last edited by a moderator:

navyopenda mnuso shosti
mimi wala si wa kufikiria mara mbili
lazima nitie timu!!
 
HVI WEWE KIONGOZI UNAZO KICHWANI AU ULIPELEKWA MILEMBE NDO UMETOKA YAANI MM NA AKILI ZANGU TIMAMU NITOE MCHANGO KWENYE VITIGOPESA, VIMPESA, NA IZEPESA KWA SABABU ZIPI SI BORA NINGEWAPA WALE OMBAMBA NINGEPATA DHAWABU TOKA MUNGU, ANGALIA SANA WEWE NA SITAKI UNIPE NDOA HAPA KWANI ANSIKIKIA NDOA ZAKO UNAZOWABAMBAKIZIA WANAMMU, CC HAPA NI ZA KITAPELI NA NYINGI ZAO WAMEACHANA KWA UGOMVI WA KUTOANA NGEU NA WENGINE HATA WASALIMIANI KAMA MWANZO KISA WEWE KIONGOZI TAPELI, SIJUI NANI ALIKUPA HICHO CHEO NAONA ALIKOSEA KABISA ANGENIPA MM AU Erickb52 KWANI NAONA ANAFAAA AU HATA KAKA Bishanga japo kidogo anafaa kulikko wewe msarambatishaji wa ndoa za watu
Ndugu wanajamvi kwa mamlaka niliyopewa na niliyojiongezea mimi mwenyewe nachukua fursa hii kutangaza RASMI ndoa kati ya nitonye na bibie Arabela itakayofanyika siku ya keshokutwa jumamosi tarehe 31/08/2013 huko kijijini kwao Kyabakali mkoani Kagera, Wote mnakaribishwa.. Kwa wale mtakaohudhuria harusini wasiliana na Bishanga na kyanaKyoMuhaya kwa ajili ya usafiri wa ndege ya kukodi hadi kijijini, kwa mlioko Mwanza wasilianeni na charminglady kuna boti ya kukodi pale iko standby, wakati huo KakaKiiza anawasiliana na wakala wa fastjet kwa ajili ya usafiri toka Dar, Arusha na Kilimanjaro.

Kwa sababu za kiusalama zubedayo_mchuzi na Mamndenyi hawataruhusiwa kuhudhuria..

Mtakaohitaji kutoa michango tumeni kwangu mwenyekiti kwa M-Pesa, Tigopesa na Ezypesa..

Wakatabahu
Baba V
The Life chairperson.
 
Last edited by a moderator:
HVI WEWE KIONGOZI UNAZO KICHWANI AU ULIPELEKWA MILEMBE NDO UMETOKA YAANI MM NA AKILI ZANGU TIMAMU NITOE MCHANGO KWENYE VITIGOPESA, VIMPESA, NA IZEPESA KWA SABABU ZIPI SI BORA NINGEWAPA WALE OMBAMBA NINGEPATA DHAWABU TOKA MUNGU, ANGALIA SANA WEWE NA SITAKI UNIPE NDOA HAPA KWANI ANSIKIKIA NDOA ZAKO UNAZOWABAMBAKIZIA WANAMMU, CC HAPA NI ZA KITAPELI NA NYINGI ZAO WAMEACHANA KWA UGOMVI WA KUTOANA NGEU NA WENGINE HATA WASALIMIANI KAMA MWANZO KISA WEWE KIONGOZI TAPELI, SIJUI NANI ALIKUPA HICHO CHEO NAONA ALIKOSEA KABISA ANGENIPA MM AU Erickb52 KWANI NAONA ANAFAAA AU HATA KAKA Bishanga japo kidogo anafaa kulikko wewe msarambatishaji wa ndoa za watu

I know uuuuuuuiuiiiuiiiiii ahahaaaaa
 
Tatizo hutaki kwenda na wakati... afu mbona povu kiasi hicho!? umeachika ama !?? relax... tafuta mchumba uje niwafungishe ndoa.. I'm always there for you guys..
 
Last edited by a moderator:
Nipo Johannesburg nafanya mipango yakurudisha Ndege ya Fastjet ambayo ilikuwa imeanza safari za Dar-Johannesburg hivyo ni ndege Kubwa nadhani ittosha ila naomba niwaambie kuwa mwisho wandege ni Mwanza nitamuomba Nicas Mtei atuandalie ndege ndogo awambie costal travel,tanzaniar, wasitishe kwa sikuhiyo shughuli zao kwani ndege hizo zimeishakodiwa!Pia tutamuomba Mzeewarula atusaidie logistic hiyo!Pia naomba huu ujumbe umfikie Arusha one nikwamba tunahitaji gari kumi za tours ili kupakia wageni kutoka Pale Bukoba Custom hadi kijijini!Pia mzee wa lidabokibini unaombwa kuhudhuria Asprin mengine mtafahamishwa ila mnaombwa kutokuja na Couples kwani kila kitu kiko huku!na endapo mmekutana huku kwa bahati mbaya potezeaneni!
:wave::wave::wave::wave::wave::wave::wave::wave::wave::wave::wave:
 
Kongosho nadhani ameshakusikia
Judgment na YNNAH tunapenda kuwaona hio siku
amu ingawa umepotea sana ila kwenye hii usikose

babu Asprin ni nani amekufungia kiasi hiki!!!!!!!
Ruttashobolwa na akanana wake Passion Lady msikose

baba kijacho sosoliso na mama kijacho Paloma ur warmly welcome Paloma kichefu chefu bado kinasumbua
Eli79 najua bado unamfatilia pacha wa my wii Lady doctor sijui harakati zimeishia wapi karibu sana!!!!!!

Ukaribisho bado unaendelea.....

Nipo mpenzi wangu, kama vipi hebu cum zis wei.....:A S kiss::A S kiss:
 
Nimeshalewa mwenzenu.... afu mzuka ukipanda ndo ntaanza kumtafuta eriakb52 ... KOKUTONA niongeze Lubisi kisha nimwage radhi.

Ha ha haaaaa Baba V, una stress?

Au umekasirika mhaya nitonye kujiopolea kigoli waTanga?

Your request is my command......nakuletea rubisi mwayaaa.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaa Baba V, una stress?

Au umekasirika mhaya nitonye kujiopolea kigoli waTanga?

Your request is my command......nakuletea rubisi mwayaaa.

Hujaona tu.. we acha kabisa. ...mie kubariki ndoa ya nitonye na Arabela watu waka ni em twente thirii...!! nisingekuwa ngangari tungekuwa tunaongea mengine.. BTW Miss you sana..
 
Last edited by a moderator:
ticket ya nini tena wangu?
Unataka kuwa msemaji au msema chochote??Ila utajulishwa hatuna haraka tunakula life na baby wangu Nivea

Najua atatoka huko anawaka vipi tiketi yako nikuletee??au utakuja chukua?
 
Sihitaji ndoa zamatatizo za humu ndani sijaachika wala sina mume na wala sitarajii kuwa na mtu yeyote labda wewe nikuoe mie
tatizo hutaki kwenda na wakati... Afu mbona povu kiasi hicho!? Umeachika ama !?? Relax... Tafuta mchumba uje niwafungishe ndoa.. I'm always there for you guys..
 
Back
Top Bottom