Hatimaye nipo huru

Hatimaye nipo huru

mkuu mie sina mengi yakusema ila niseme tu hii dunia ina mateso mengi sana yakila namna,nimejifunza mengi kwakushuhudia
Pole sana kwa masahibu kama yalikupata, pia hongera sana kwa kupambana

Kikubwa ni kumtegemea Mwenyezi Mungu.

Karibu utoe ushuhuda japo kwa uchache hata kwa ID mpya, karibu sana.
 
mimi sio msimuliaji mzuri na mvivu kuandika,ila niliyaona matatizo aliyopitia mtu wangu wa karibu sana ndani ya familia
 
Yes, na nimeisimulia kwa sababu aliniambia nisimulie hadi baada ya miaka 10 akishakufa, kama ningekufa mimi kabla angesimulia Hamida (my wife) au kwa njia nyingine tu watu wangejuzwa
Duuh alikuwa anajua atakufa lini,mwenyezi mungu azipumzushe roho zao mahali pema
 
Simulizi murua kabisa. Mwambie Bi Hamida anifanyie mpango hata wa kitukuu chake bana. Na mimi nataka kufanya "chemistry" mzee wangu!

nikadhani ushakuwa mtu wa mwenyezi mungu baada ya kuwa jini kumbe Bado ni ushetani huo huo. ila umeniongezea kitu kuhusu majini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee bonge la story.
Hao majini watuachie dunia yetu daah, wanaonekana wao ndio chanzo cha matatizo.

Kwa mujibu wa story yako ni kua hii mifsrakano ya kidini ni agenda za kishetani coz huenda kila watu wako sahihi kwa upande wao, ila majin wanahangaika kumwambafaisha upande mmoja au mwingine basi tu kuleta mfurugho.

Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
 
@MR KUO nimejaribu kurudia post yako lakini bado sijakuelewa sawasawa

Hebu fafanua kidogo

Au kama kuna mdau amemuelewa anifafanulie.
 
Aisee bonge la story.
Hao majini watuachie dunia yetu daah, wanaonekana wao ndio chanzo cha matatizo.

Kwa mujibu wa story yako ni kua hii mifsrakano ya kidini ni agenda za kishetani coz huenda kila watu wako sahihi kwa upande wao, ila majin wanahangaika kumwambafaisha upande mmoja au mwingine basi tu kuleta mfurugho.

Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Upo sashihi,

Mifarakano yote ni agenda ya Ibilisi

___
Shetani siyo lazima awe Jinni, kuna binadamu pia ni mashetani

Jinni akiwa muasi ndio huitwa SHETANI, aka MAPEPO.

MAPEPO ni roho

Na roho zipo ROHO CHAFU na ROHO SAFI.

Ibilisi alifarakanisha kule bustanini Eden baina ya Adam na mkewe (hivyo kumchukiza Mungu)

Eva akala tunda
(Siyo tunda la rikiboy and the like...)

Bali alikula tunda kutoka kwenye mti, na kisha akampa Adam naye ale tunda hilo.

Ibilisi alimtumia nyoka, nyoka naye akaomba apate usaidizi kwa ndege Tausi... (Hii ni stori nyingine kabisa katika mapokeo)

Tausi akazubaisha Malaika walinzi, nyoka akapenya Eden.
***

Duniani, Ibilisi akafarakanisha kaka wawili waliokuwa wakimgombania dada yao kila mmoja akitaka amuoe yeye...
 
mkuu majini hula nini??

Na wao wana adhabu siku ya kiama??
 
Mkuu naomba nikushukuru na kukupongeza pia kwa kuhadithia kisa hiki bora kabisa tangu nimejiunga jf zaidi ya miaka 10 iliyopita. Uandishi wako ni wa kiwango cha juu mno na sijui tunawezaje kukulipa kwa muda wako ulotumia kuandika haya yote kwa uhalisia kabisa. Itoshe tu kusema kama ni sadaka umefanya ni kubwa sana na Mwenyezi Mungu ataendelea kukubariki
 
Upo sashihi,

Mifarakano yote ni agenda ya Ibilisi

___
Shetani siyo lazima awe Jinni, kuna binadamu pia ni mashetani

Jinni akiwa muasi ndio huitwa SHETANI, aka MAPEPO.

MAPEPO ni roho

Na roho zipo ROHO CHAFU na ROHO SAFI.

Ibilisi alifarakanisha kule bustanini Eden baina ya Adam na mkewe (hivyo kumchukiza Mungu)

Eva akala tunda
(Siyo tunda la rikiboy and the like...)

Bali alikula tunda kutoka kwenye mti, na kisha akampa Adam naye ale tunda hilo.

Ibilisi alimtumia nyoka, nyoka naye akaomba apate usaidizi kwa ndege Tausi... (Hii ni stori nyingine kabisa katika mapokeo)

Tausi akazubaisha Malaika walinzi, nyoka akapenya Eden.
***

Duniani, Ibilisi akafarakanisha kaka wawili waliokuwa wakimgombania dada yao kila mmoja akitaka amuoe yeye...
Mkuu unaufahamu wa mambo mengi mno. Hiyo ya tausi ukipata muda tuletee maana ndio naisikia hapa
 
Back
Top Bottom