Hatimaye nipo huru

Hatimaye nipo huru

Hongera sana muandishi hakika hadithi hii ni ya kweli pasi na shaka. Umenikumbusha hawa watu wa bagamoyo umemtaja kurame, mantiba mzee zahiri sisi tulimuita mzee Zahoro, Familia ya Mkila na Sheikh Mohammed bila shaka ni Muhammed Ramiya, hawa wote waliisha fariki muda tu. Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom